Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Kwa maana hiyo Biblia kwa dhati yake haijipingi si ndio ?

Kama kupingana kwa vifungu ni kwa dhati yake huoni kama Biblia inakosa sifa ya kuwa neno la Mungu ?
Kama umezingatia vizuri ninachoandika utaona kwamba kile kinaonekana kupingana kwa masimulizi ya bibilia, ni maneno ya binadamu.
Maneno ya binadamu ndio yanapingana yanapojaribu kuelezea kwa ukamilifu wazi wazi wa Mungu.
Biblia kama neno la Mungu halipingani. Maneno ya binadamu ndio yanapingana katika biblia.
 
Kwa kauli yako basi hapakuwa na haja ya kuwepo vitabu hivyo sababu havimfanyi binadamu kumjua Mola wake vilivyi.

Kwetu sisi waislamu ni kinyume. Unahisi kwanini kumekuwepo hivyo vitabu na ili iweje ?
Hivi vitabu vya neno la Mungu vipo kwa lengo la mafundisho ya maadili.
Yesu ndio kielelezo kikuu kupita vyote cha maadili anatufundisha nasi tuishi hivyo tufikie ukamilifu, Mungu.
 
Kwahiyo mimi nikisema kuhusu ukweli na upendo maneno yangu nayo ni maneno ya Mungu ?

Jibu halijitoshelezi,unatakiwa ufafanue zaidi.
"...Natumfanye mtu kwa mfano wetu..." Biblia inasema maneno hayo.
Wewe umeshiriki kwa namna ya pekee ukuu wa Mungu kuliko viumbe vingine vyote ulimwenguni.
Kwa biblia tunaona kweli za Mungu na upendo wa Mungu.
Je, wewe unasema ukweli wa Mungu na upendo wa Mungu?
 
Kama umezingatia vizuri ninachoandika utaona kwamba kile kinaonekana kupingana kwa masimulizi ya bibilia, ni maneno ya binadamu.
Nani amesema ya kuwa Yesu ni Mungu ? Hapa napo kuna utata.

Nilikufafanulia huko mwanzo ya kuwa kuna dhati ya maneno na kuna ufahamu wa binadamu. Hili naona huja makinila nalo.

Unaposema kwa masimulizi ya Biblia una maanisha dhati ya matini au maelezo ya watu yaliyomo kwenye Biblia ? Na kama ni maelezo ya watu kwanini yawe ni sehemu ya Biblia na myaite ni maneno ya Mungu ?
Maneno ya binadamu ndio yanapingana yanapojaribu kuelezea kwa ukamilifu wazi wazi wa Mungu.
Ina maana maneno hayo yapo ndani ya Biblia bila shaka,sasa kwanini yawemo humo huoni kwamba yanatia dosari maneno ya Mungu ?

Kwa maana hiyo Biblia haiwezi kuwa takatifu sababu kuna maneno ya watu pia humo ndani.

Au kwa mafundisho yenu utukufu wa jambo au kitu huwa una vigezo gani ?
ya binadamu ndio yanapingana katika biblia.
Maneno hayo ya binadamu yamo kwenye Biblia au ? Je utajuaje kam haya ni maneno ya binadamu na haya ni Mungu ndani ya Biblia ? Unaweza kutoa mifano hata miwili juu ya kauli yako hiyo ?
 
"...Natumfanye mtu kwa mfano wetu..."
Unaweza kunithibitishia ya kuwa maana ya kauli hiyo ndivyo hivyo mnavyoielewa nyinyi ?

Iliposemwa ".....Na tumfanye mtu kwa mfano wetu...". Je ni kwa mfano wa kimaumbile kiutashi au kwa mfano upi ?
Je, wewe unasema ukweli wa Mungu na upendo wa Mungu?

Najitahidi kadiri ya alivyoniwezesha yeye,katika kauli na vitendo.
 
Umeandika.

"Ukiweza kueleza placebo effect kwamba ni jambo linalopita sheria ya maumbile (sayansi) nami nitaeleza hapa inakuwaje kanisani hakuna placebo effect. Nitaeleza kinaganaga."

Hujataja Mungu hapo.

Kwa nini unaniambia nieleze placebo effect ni jambo linalopita sheria ya maumbile, wakati mimi sijawahi kudai hilo?

Kwa nini unaniambia ni prove 1 + 1 = 3, wakati mimi sijawahi kudai 1 + 1 = 3 ?
Mnaweza niruhusu nielezee hii effect kwa kina ?
 
Yesu ndio kielelezo kikuu kupita vyote cha maadili anatufundisha nasi tuishi hivyo tufikie ukamilifu, Mungu.
Sasa mafundisho ya Yesu si Injili ? Kwa maana huo si ndio urithi alio waachia wafuasi wake ?

Wewe unaweza kuniambia nani alikwambia umfate Yesu kwa wakati huu ?
 
Nilikufafanulia huko mwanzo ya kuwa kuna dhati ya maneno na kuna ufahamu wa binadamu. Hili naona huja makinila nalo.

Unaposema kwa masimulizi ya Biblia una maanisha dhati ya matini au maelezo ya watu yaliyomo kwenye Biblia ? Na kama ni maelezo ya watu kwanini yawe ni sehemu ya Biblia na myaite ni maneno ya Mungu ?
Maswali yako ni mazuri.
Lakini kuna jambo moja la kuelewa, nalo hili: BIBLIA IMEANDIKWA NA WATU. Sasa ugumu unakuja kwa watu kushindwa kutofautisha MANENO YA MUNGU kutoka kwenye maneno ya binadamu.
Hii ndio inafanya watu wadai biblia inapingana.
Kwa kuwa wanashindwa kutofautisha maneno ya Mungu kutoka katika maneno ya binadamu, biblia inakuwa kwao siyo kweli za Mungu.
 
Nani amesema ya kuwa Yesu ni Mungu ? Hapa napo kuna utata.

Nilikufafanulia huko mwanzo ya kuwa kuna dhati ya maneno na kuna ufahamu wa binadamu. Hili naona huja makinila nalo.

Unaposema kwa masimulizi ya Biblia una maanisha dhati ya matini au maelezo ya watu yaliyomo kwenye Biblia ? Na kama ni maelezo ya watu kwanini yawe ni sehemu ya Biblia na myaite ni maneno ya Mungu ?

Ina maana maneno hayo yapo ndani ya Biblia bila shaka,sasa kwanini yawemo humo huoni kwamba yanatia dosari maneno ya Mungu ?

Kwa maana hiyo Biblia haiwezi kuwa takatifu sababu kuna maneno ya watu pia humo ndani.

Au kwa mafundisho yenu utukufu wa jambo au kitu huwa una vigezo gani ?

Maneno hayo ya binadamu yamo kwenye Biblia au ? Je utajuaje kam haya ni maneno ya binadamu na haya ni Mungu ndani ya Biblia ? Unaweza kutoa mifano hata miwili juu ya kauli yako hiyo ?
Hebu nielezee hii philosophical phenomena nliyoitengeneza nikiwa kijana mdogo Unajua shida ina rise wapi dogo

Look at this philosophical phenomena

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo moto utawaka tena 😆😆😆

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri iliUnajua shida ina rise wapi dogo

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri

Aisee huku kwa wakristo

Unajuaa nini mkuu nakupa philosophical phenomena nlyoitengeneza nkiwa kijana mdogo sana

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri ilianzishwa

Hapo sijagusia ugomvi wa wasabato na walokole , maana hapo panachafukaga nenda jukwaa la dini uone

Msabato au mroma au mlokole au mlutheri au mpentekost , watabishana sana kuhusu nani ataenda mbinguni na nani atabaki na bado makanisa mengi sijataja hadi la nabii tito 😎🙄

Tuje kwa waislamu , wote tunajua watakavyojigawa , shia na suni

Kwa nini mgawanyiko wote huu utokee

Fikiri tafakari , mwamini Mungu ila usiendeshwe na dini

#scientist

Cc Kiranga
 
Sasa ugumu unakuja kwa watu kushindwa kutofautisha MANENO YA MUNGU kutoka kwenye maneno ya binadamu.

Hapa inaonekana wazi kabisa tatizo lilianzia kwa wale wa kwanza walio andika Biblia kwa kushindwa kujua ni yapi maneno ya Mungu na yapi ni kinyume chake.

Hii ina maanisha ya kuwa kwa mchanganyiko huu Biblia si maneno ya Mungu.

Na pia kuna uwezekano katika maneno hayo ya binadamu ndani ya Biblia hakuna hata neni moja la Mungu,na hili hakuna anae weza kulipinga kielimu.
Kwa kuwa wanashindwa kutofautisha maneno ya Mungu kutoka katika maneno ya binadamu, biblia inakuwa kwao siyo kweli za Mungu.
Bila shaka kabisa na wewe ni miongoni mwa wale walioshindwa kutofautisha hilo.

Kwa maana nyinyi mmeamua kuishi kwenye dhana katika maisha yenu yote.
 
Nmekuwekea kitu hapo chini tumia hata siku mbili kutafakari dada yangu kipenzi
Naona unataka kunifedhehesha sio kwa kunitusi,nakupa udhuru kwa mara ya pili, hili niliwahi kukwambia na hapa nasema tena hivi "Wakiona maneno yako watakwambia mimi ni nani"

Huwa siitiki mpaka niitwe.

Tuendelee .....
 
Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo
Na anza hapa,kwanza katika elimu na uchambuzi wa mambo bali kutaka kuujua ukweli ukitumia tabia mbaya ya "Ubishani" unakuwa unaukimbia ukweli,kwani ubishi una madhara na una mwisho mbaya.

Udhaifu wa jambo lako hilo umeanzia hapa,na kuna tofauti kati ya kubisha na kuhoji na kukanusha.

Naendelea .....
 
Maneno hayo ya binadamu yamo kwenye Biblia au ? Je utajuaje kam haya ni maneno ya binadamu na haya ni Mungu ndani ya Biblia ? Unaweza kutoa mifano hata miwili juu ya kauli yako hiyo ?
Maneno ya Mungu ni Kweli za maisha ya binadamu na Mungu.
Kwa mfano simulizi la Ayubu, ukweli wake ni kwamba watu wema nao hupata matatizo. Na kwamba matatizo si kwa sababu ya dhambi tu.
 
Naona unataka kunifedhehesha sio kwa kunitusi,nakupa udhuru kwa mara ya pili, hili niliwahi kukwambia na hapa nasema tena hivi "Wakiona maneno yako watakwambia mimi ni nani"

Huwa siitiki mpaka niitwe.

Tuendelee .....
😅😅😅😅😅
 
Na anza hapa,kwanza katika elimu na uchambuzi wa mambo bali kutaka kuujua ukweli ukitumia tabia mbaya ya "Ubishani" unakuwa unaukimbia ukweli,kwani ubishi una madhara na una mwisho mbaya.

Udhaifu wa jambo lako hilo umeanzia hapa,na kuna tofauti kati ya kubisha na kuhoji na kukanusha.

Naendelea .....
teh ...

Endelea ndugu yangu
 
Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo ,
Katika wale wawili waliobisha kwamba Mungu hayupo,naona hapa amebakia mmoja,huyo mwingine ameenda wapi ? Unatakiwa kuahariri upya hiki ulichokindika.
Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu
Hapa naona wamekuwa wawili tena kama walivyo anza.

Hili la idadi sababu sio la msingi,nimelipuuza ila unatakiwa uwe makini sana.
Hebu nielezee hii philosophical phenomena nliyoitengeneza nikiwa kijana mdogo Unajua shida ina rise wapi dogo

Look at this philosophical phenomena

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo moto utawaka tena 😆😆😆

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri iliUnajua shida ina rise wapi dogo

Look at this philosophical phenomena

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo moto utawaka tena 😆😆😆

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo moto utawaka tena 😆😆😆

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri iliUnajua shida ina rise wapi dogo

Look at this philosophical phenomena

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo

Unajuaa nini mkuu nakupa philosophical phenomena nlyoitengeneza nkiwa kijana mdogo sana

Look at this philosophical phenomena

Imagine , there were many people ambao walkua wanadiscuss kuhusu maswala ya mungu , ghafla katikati ya wale watu wakatokea watu wawili ambao , wakabisha na kusema mungu hayupo

Wale watu bila kujali dini zao wataungana kumpinga yule mmoja ambaye haamini Mungu yupo , bila kujali either ni mkristo mwislamu hili pia tumeliona sana humu jf , mbudha mnani yaani mhindi yaani wote watambishia hao jamaa wawili

Wale jamaa wawili wataona isiwe kesi ngoja tuwaache hawa wanaomwamini Mungu si tuendelee na mambo yetu

Basi bwana wale watu wanaoamini uwepo wa mungu let say wataanza safari ya kwenda sehemu

Mara mwislamu na mkristo wataanzisha hoja , ila nyie wabudha na wahindu mungu wenu siyo , wa kwetu ndo wa ukweli

Hahaha , wabudha wata mind kinoma😅 , watatafuta njia yao na kuwaacha hawa wanaomini mungu wao ni wa kweli

Katikati ya safari , mkristo ataanzisha songombingo , we mwislamu dini yako sio kweli , huyo allah ndo nani
Hapo mwislamu atapanick , na kumwita mwenzake kafiri , kumbuka hawa wametoka safari moja , kutatokea mabishano ya karne hapa , mambo ya vitimoto 😅 , mambo ya muhamad , sijui mambo ya nabii issa

Basi wataona isiwe kesi wataamua kujitenga , hawa waislamu wataenda kule na wakristo wataenda upande wao

Aisee huku kwa wakristo moto utawaka tena 😆😆😆

Mpentekost ataanza kumponda mroma kutobatiza kwa maji mengi , kusali rozali na etc , mroma humo humo watapingana , ndo maana lutheri ilianzishwa

Hapo sijagusia ugomvi wa wasabato na walokole , maana hapo panachafukaga nenda jukwaa la dini uone

Msabato au mroma au mlokole au mlutheri au mpentekost , watabishana sana kuhusu nani ataenda mbinguni na nani atabaki na bado makanisa mengi sijataja hadi la nabii tito 😎🙄

Tuje kwa waislamu , wote tunajua watakavyojigawa , shia na suni

Kwa nini mgawanyiko wote huu utokee

Fikiri tafakari , mwamini Mungu ila usiendeshwe na dini

#scientist

Cc Kiranga

Haya uliyo yaandika hayakuwa na maana zaidi ya swali la msingi,ni kuwa kwanini kuna utofauti wa dini na mitazamo ? Hili ndio swali la msingi na umetumia muda mwingi sana kuweka wazi jambo ambalo liko wazi,kufanya kwako hivyo kumeonyesha una udhaifu mkubwa sana wa kutafakari mambo na kuyaweka katika hitimisho moja na fupi.
 
Back
Top Bottom