Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nikisoma au nikisikia Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote, mfano, wa Biblia na Quran)naelewa ni jina la kitu cha kutungwa.
Unaposema Mungu ametungwa bila kuonyesha uthibitisho ya kuwa alitungwa vipi na ilikuwa lini ? Haya yanabali kuwa madai yasiyo kuwa naashiko.
Ndiyo maana mpaka sasa hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.
Hivi ili jambo liwepo linatakiwa kukidhi vigezo gani ?

Je ni ipi nafasi ya maarifa au ya kutokuwa na maarifa juu ya kile uanchodai hakipo ?
 
Si kwamba sijakujibu. Nimekujibu.
Lakini, kwasababu hujaelewa "FREE WILL", ni nini, na inatoka wapi. Lazima useme sijajibu swali lako.
Jifunze kuhusu mwanadamu: mwanadamu maana yake ni nini, ametoka wapi, amefikaje hapa (ulimwenguni), na anaenda wapi.
Hatahivyo, ni vizuri kuelewa kwamba Mungu hana, na kwa vyovyote vile hatakuwa na contradictions.
Hicho ambacho kwako unaona na unaelewa ni contradictions za Mungu; siyo contradictions za Mungu, bali ni maneno ya binadamu yanayojaribu kumwelezea Mungu, ambae bado hajaeleweka waziwazi kwetu.

Nina swali hapa kidogo,unaposema ni maneno ya binadamu yanayo jaribu kumuelezea Mungu unamaanisha maneno gani ? Ukitoa mfano itakuwa vyema zaidi.
 
Na nimekuuliza swali dogo linaloonesha contradiction kati ya free will inayosemwa kuwepo kwa watu na perfect knowledge ya hiyo mnayemuita Mungu, umeshindwa kujibu.
Inawezekanaje Kiumbe kilichoumbwa kikawa na uwezo sawa na muumba?
Freewill ni uwezo ambao Mungu amempatia kila mwandamu. Kwa wenyewe mwanadamu anakuwa huru kuchagua jema au baya. Uwezo huo ambao Mungu amempatia mwandamu hauwezi kwa vyovyote vile kuwa juu ya Mungu kwasababu umetoka kwake.
 
Sawasawa na kachero Willy Gamba aliyetungwa na Aristablus Elvis Musiba au James Bond aliyetungwa na Ian Fleming.

Ndiyo maana mpaka sasa hujaweza kuthibitisha Mungu yupo.

Na nimekuuliza swali dogo linaloonesha contradiction kati ya free will inayosemwa kuwepo kwa watu na perfect knowledge ya hiyo mnayemuita Mungu, umeshindwa kujibu.

Kwa sababu hiyo free will na hiyo Mungu vyote ni vitu vya
Hili swali la pili hujajibu.
Unaelewa nini wewe kuitwa fulani?
 
Nina swali hapa kidogo,unaposema ni maneno ya binadamu yanayo jaribu kumuelezea Mungu unamaanisha maneno gani ? Ukitoa mfano itakuwa vyema zaidi.
Namaanisha maneno haya haya tunayotamka au tunayosoma. Kwenye biblia utaweza kukuta vifungu fulani fulani vikipingana.
Kupingana huko ndio kunaitwa maneno ya binadamu yanayojaribu kumwelezea Mungu, ambae bado hajaeleweka wazi wazi kwetu.
 
Well.
Can you define the word 'God'.
The word God, by common lore, is the name of an imaginary all knowing, all capable, all loving creator of the universe that by all logical reasoning does not exist.

If you disagree, prove God exists.
 
Namaanisha maneno haya haya tunayotamka au tunayosoma. Kwenye biblia utaweza kukuta vifungu fulani fulani vikipingana.
Kupingana huko ndio kunaitwa maneno ya binadamu yanayojaribu kumwelezea Mungu, ambae bado hajaeleweka wazi wazi kwetu.
Sasa wewe umejuaje kama Mungu hajaeleweka vizuri ? Kwa maana hiyo wewe una majibu sahihi au una marejeo ya usahihi.

Kwako wewe Bublia si maneno ya Mungu sababu kuna vifungu vina pingana au ? Naomba ufafanuzi kidogo.

Au unahisi kwamba kuna siku watu watamuelewa Mungu vizuri kisha huko kujigonga kwa hayo maandiko kutapotea au kutabakia ?

Lakini je katika kutokuelewa u kugongana kwa hivyo vifungu je ushawahi kuotuhumu akili yako au elimu ya kuwa haijaweza kukidiriki kile kilicho zungumzwa katika vifungu hivyo ?

Mathalani,kwangu mimi ni muislamu na nina amini ya kuwa Qur'aan imekamilika na hakuna kifungu kinacho pingana na na kingine na Mola wetu amejielezea mwenyewe kiukamilifu kupitia Qur'aan na Hadithi za mtume wake.
 
The word God, by common lore, is the name of an imaginary all knowing, all capable, all loving creator of the universe that by all logical reasoning does not exist.

If you disagree, prove God exists.
Kaka unaulizwa maswali ya msingi lakini kama kawaida yako ya kukwepa maswali na kupoteza uelekeo.

Hiyo maana ya God umeipata wapi ?
 
Nimekubali kwamba hivyo ndivyo wewe unaelewa. Kwa sababu hiyo tuendelee na swali hilo la pili.
Sijauliza kama umekubali kama hivyo ndivyo ninavyoelewa, unakubali ni jibu sahihi au si sahihi? Na kama hukubali, ni kwa sababu gani?
 
Huu uzi bwana, unaweza jikuta umesoma page zote 190, ila hujaona mahali pa kuingilia ili nawe uchangie. Hongereni kwa machangiaji kwa hoja zenu, kuna mengi wasomaji tunajifunza kupitia kwenu.
Kuna waelimishaji
Kuna wajuaji na wabishi
Kuna bendera fuata upepo
Kuna praise team
Kuna wabishaji bila hata kujua wanabisha nini....
Ila kikubwa ni kwamba nimejifunza mengi sana hasa kwa huyu nundu
 
Sijauliza kama umekubali kama hivyo ndivyo ninavyoelewa, unakubali ni jibu sahihi au si sahihi? Na kama hukubali, ni kwa sababu gani?

Kaka kwani hicho ulicho kijibu mpaka ukamuuliza amekubali jibu ulilolitoa,si ndivyo hivyo unavyokielewa au ni kinyume chake ? Sasa kwanini unaendelea kuuliza swali usilotakiwa kuuliza ?

Unajitutumua sana mpaka unaonekana CHIZI,yaani unajikataa mwenyewe.

Hapo hukutakiwa tena kuuliza swali zaidi ya kuendelea mbele,maana hata kutaka jibu la kwanini anakubali au hakubali ni makosa. Kaka wewe ni dhaifu sana.
 
Kuna waelimishaji
Kuna wajuaji na wabishi
Kuna bendera fuata upepo
Kuna praise team
Kuna wabishaji bila hata kujua wanabisha nini....
Ila kikubwa ni kwamba nimejifunza mengi sana hasa kwa huyu nundu
Ila kujadiliana na Kiranga ni kupoteza muda,kinachotakiwa kufanyila kwa huyu mtu ni kukubali afundishwe.

Huyu mdau mwingine ana muuliza maswali ya msingi sana na kwa hoja nzuri,lakini daah,anachokumbana nacho ni kupotezewa muda.

Kuna post moja Kiranga amenichekesha sana. Ameuliza swali rahisi amejibiwa lakini kwa ujuaji wake alichokihoji ndio kichekesho chenyewe,yaani hakutakiwa kuhoji tena kwa jibu alilo pewa,lakini alicho kifanya ndio kimezidi kunifanya nimuone mjinga na mpenda mashindano.
 
The word God, by common lore, is the name of an imaginary all knowing, all capable, all loving creator of the universe that by all logical reasoning does not exist.

If you disagree, prove God ex
Ulichojibu siyo swali la msingi. Swali la msingi ni, 'what is God'?
Wewe umechanganya kati, Common lore na God. Umechukua Common lore as field ukachanganya na maneno yako mengine. Halafu ndio unasema ni definition ya God. Wrong!
Usichanganye mambo na usikwepe mada yenyewe kwa kuleta kitu kingine.
 
Nimekuaachia nafasi ya kupinga kwa facts.

Nikakwambia kama unasema Mungu yupo, thibitisha yupo.

Hujathibitisha.
 
Namaanisha maneno haya haya tunayotamka au tunayosoma. Kwenye biblia utaweza kukuta vifungu fulani fulani vikipingana.
Kupingana huko ndio kunaitwa maneno ya binadamu yanayojaribu kumwelezea Mungu, ambae bado hajaeleweka wazi wazi kwetu.

Suala Ni kwamba

Kwanini hayo mambo au mandiko yanayoitwa ya Mungu yasiwe bayana kwa watu wote wakati yeye ni muweza..!?

Kwanini asubirie mpaka waliovimbirwa chai ya mohogo watafsiri maandiko yake na kusababisha utofautiano wayo..!?

Kwanini wengine wayaelewe na wengine washindwe kuyaelewa huoni kupuuza kwake hilo kinasababisha mijadala Jf kumhusu yeye isiishe..?
 
Ila kujadiliana na Kiranga ni kupoteza muda,kinachotakiwa kufanyila kwa huyu mtu ni kukubali afundishwe.

Huyu mdau mwingine ana muuliza maswali ya msingi sana na kwa hoja nzuri,lakini daah,anachokumbana nacho ni kupotezewa muda.

Kuna post moja Kiranga amenichekesha sana. Ameuliza swali rahisi amejibiwa lakini kwa ujuaji wake alichokihoji ndio kichekesho chenyewe,yaani hakutakiwa kuhoji tena kwa jibu alilo pewa,lakini alicho kifanya ndio kimezidi kunifanya nimuone mjinga na mpenda mashindano.
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swali la akili alishindwa kabisa/alichomoa kujibu
 
Sasa wewe umejuaje kama Mungu hajaeleweka vizuri ? Kwa maana hiyo wewe una majibu sahihi au una marejeo ya
Ndugu naomba nikujibu hivi:
"Mungu", hili ni jina linalojaribu kuelezea, hapa niite nguvu iliyofanya ulimwengu, binadamu na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Jina hili " Mungu" lina maana hasa ya kuelezea uwezo wa mwisho wa binadamu kwenye kutambua hii nguvu kuu.
Ukweli hapa, ni 'hii nguvu' iliyofanya hivi vitu, ulimwengu, binadamu na viumbe vingine kwa jinsi hiyo ya ajabu: kamilifu, pangilifu na nyoofu.
Dini, hatahivyo, tangu mwanzo imekuwa na inaendelea kusema juu ya NGUVU HII 'MUNGU'. Yesu Kristo ni mfano bora zaidi kuliko mwanadamu mwingine yoyote (sublime moral) duniani aliyekuja kuifunua hii nguvu. Ingawa siyo kwa ukamilifu wote.
 
Back
Top Bottom