Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mkuu hawatakwambia kamwe maana ya akili japo wamekuuliza kama unayo au huna.
Tunakoelekea ni kujaza mada tu bila hoja za msingi.
[HASHTAG]#Akilininini[/HASHTAG]?
Hatuwezi kumwambia mpk aseme anazozijua.

Angesema hajui akili ninini hapo tingemsaidia huu msamiati.

Yeye anauliza wkt ana majibu mengi, atoe majibu tumjulishe jibu tunalo maanisha
 
Nimepitia comment zote hapa kwa kifupi tu kiranga umechemka .. na hili swali la mshana linakutafakarisha mengi sana juu ya kutokuamini kwako uwepo wa Mungu.. wanaokusapoti ni wana uwezo mdogo sana wanajua kushabikia tu lkn ukiwaachia wanakimbia yaan kesho ukisema unaamini Mungu yupo na wao wanaamini .. Bendera
mkuu upo sahihi...kiranga hapa kachemka, sioni hoja zaidi ya porojo za kutaka kila analoulizwa afafanuliwe ndipo atoe majibu, hapa nampa -0%
 
Nimepitia comment zote hapa kwa kifupi tu kiranga umechemka .. na hili swali la mshana linakutafakarisha mengi sana juu ya kutokuamini kwako uwepo wa Mungu.. wanaokusapoti ni wana uwezo mdogo sana wanajua kushabikia tu lkn ukiwaachia wanakimbia yaan kesho ukisema unaamini Mungu yupo na wao wanaamini .. Bendera
Imebid nirud tena kusoma mada nimegundua kiranga a kuchukua neno moja tu akili na kulileta hapa.

Badala ya kujibu kile anachopaswa kujibu.

NAANGALIA HAPA MSHANA ALIPOMALIZIA NA NDIPO KIRANGA ALIPOPATA SILAHA YAKE ISIYO NA UZITO

"/Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?"
 
Ungekuwa una point au kusema akili inatafsiri nyingi basi ungejibu kwa tafsiri unayoijua ww halafu yeye angekuambia sijauliza kwa mlengo huo nawe ungejitetea kuwa swali lake halikuwa wazi sio kujizungusha zungusha tu ..
Good
 
Mimi na kiranga hatutofautiani sana kwenye suala la kuwepo au kutokuwepo kwa mungu.

Niliachana na habari za mungu miaka kumi iliyopita, nikiwa na miaka 16 tu.

Kuna maswali mpk leo nimeshindwa kujibiwa, nikaona ni habari za kipuuzi.

Mshana tunatofautiana sana humu kwa habari zake za mungu na uchawi, lkn kwenye mjadala huu nimejikita kwenye swali lake la msingi kwa Kiranga. Naona yupo sawa kabisa.

Lkn nimekuta mjadala, nimeona swali sawia kabisa akiulizwa kiranga Je Ana Akili?

Yeye nae hakujibu bali kauliza apewe maana ya akili kwanza kwani anajua tafsiri nyingi.

Sasa anapaswa atupe hizo tafsiri, sisi tuweze kujua kweli swali lilikuwa halieleweki kwake.

Sasa km hawezi kutupa hata tafsiri mbili tujionee kweli anatafsiri zaifi ya moja huko ni kutuchanganya zaidi.

Angesema hajui maana ya akili au ni msamiati mpya kwake, au aelezwe maana yake kwanza ili ajibu hapa tingesema kweli tumsaidie ili aweze kutujibu swali leti kwa ufasaha.

Sasa kusema ana tafsiri nyingi alafu hazisemi ni kutuhadaa.
Chamsingi fafanueni vizuri swali mlilo liuliza kwa kiranga lasivyo kiranga hamto mshinda dawa ya kumshinda mjanja nikujifanya mjinga
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]nakojoaaaa... Nijibu kwanza kama una akili kisha nitakujibu akili ninini... Naapa mbele ya Mwenyezi Mungu mweza wa yoye nitakujibu
Nimesoma vibaya au? Wewe ndio umeandika "nakojoaaaa"?
 
Chamsingi fafanueni vizuri swali mlilo liuliza kwa kiranga lasivyo kiranga hamto mshinda dawa ya kumshinda mjanja nikujifanya mjinga
Hatupo hapa kumshinda kiranga, ushindi huo pia hauwezi nisaidia chochote.

Kiranga hajasema hajui maana ya akili km unavyodhani.
Kasema anazijua tafsiri nyingi, atupe hizo tafsir tujue kweli anapata mkanganyiko kutuelewa.
 
Back
Top Bottom