Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ukiwa njiapanda, unataka kupinda kulia au kushoto, kabla hujaamua, Mungu anajua utaamua kwenda wapi?
Ukiwa njia panda ni hakika kabla ya kuwepo hapo ulikwisha kuamua wapi utakwenda. Hiyo tu pekee haitoshi kukufanya kujua kwamba Mungu anajua unaelekea wapi?
Unachosema hapa ni kwamba, umeshajua uko njia panda. Zaidi unajua kuna kuamua kwenda kulia au kushoto, huoni hapo maamuzi yanabaki kuwa yako, hata licha ya Mungu kujua?
 
2. Mtu kuwa na free will kunapingana na uwezo wa Mungu kujua yote, ukiwa unatembea, na hujaamua kwamba utapinda kulia ama kushoto, kama unaamini Mungu yupo na anajua yote, Mungu anajua kwamba utapinda kulia ama kushoto?
Mungu anajua kila kwani matendo ya binadamu yameumbwa. Swali kwanini tuna sema matendo ya binadamu yameumbwa,kwa sababu uwezo wa kuyafanya ametupa yeye na anajua hata yale ambayo hayapo laiti yangekuwepo anajua vipi yange kuwa.

Anajua ndio utapinda kulia na kushoto na anajua kilochopo moyoni mwako kabla ya wewe hujakidhihirisha.

Binadamu ana uhuru wa kuchagua na kufanya atakalo ndio maana hata wewe umeamua kumkana Mola pasi na elimu,huu wote no uhuru.

Mnacho taka kulazimisha nyinyi ndio halina uhalisia,kujua kwake Mola hakukizuii weww usifanye utakalo.
Kama anajua, na anachojua ni lazima kiwe, hapo mtu ana free will gani?
Mola wetu ana vitu vitatu mintarafu ufanyaji wa matendo yake. Navyo ni :

1. Iradah (Wills)
2. Mashiat (Wants)
3. Mahabah (Love)

Mola wetu akitaka jambo linakuwa hata kama akiwa halipendi. Mathalani Mola wetu hapendi waja wake waende motoni,wala hapendi ufisadi utokee,lakini ametaka utokee na ameruhusu hivyo ndio maana umetokea.
Kama Mungu hajui, na mtu ana free will, hapo Mungu ana ujuzi wote?
Mola anajua na hasifiki kwa sifa ya kutokujua na sifa zake ni KAMILI.
Free will kwa mtu na Mungu mwenye ujuzi wote haviwezi kuwepo pamoja.

Sio kweli na huwezi kulithibitisha hili,na hasemi haya isipokuwa mjinga sie mjua Mola muumba na ajabu unamjadili. Hivi ndio vituko ninavyo viona humu pekee,yaani watu wajasiri kuzungumzia mambo wasio yajua.

Acha kuitukana Elimu na watu wake.
 
wewe ni mtu wa pili leo unatuthibitishia kwamba huyu bwana sio atheist ni pretender tu anasoma hypothesis za atheists na kufikia mahitimisho tu lakini hana desa lake mwenyewe
 
Ukiwa njia panda ni hakika kabla ya kuwepo hapo ulikwisha kuamua wapi utakwenda. Hiyo tu pekee haitoshi kukufanya kujua kwamba Mungu anajua unaelekea wapi?
Unachosema hapa ni kwamba, umeshajua uko njia panda. Zaidi unajua kuna kuamua kwenda kulia au kushoto, huoni hapo maamuzi yanabaki kuwa yako, hata licha ya Mungu kujua?
Hujajibu swali nililokuuliza.

Ukiwa njiapanda, unataka kuamua uende kulia au kushoto.

Kabla hujaamua.

Mungu anajua utaamua kwenda kulia au kushoto?
 
wewe ni mtu wa pili leo unatuthibitishia kwamba huyu bwana sio atheist ni pretender tu anasoma hypothesis za atheists na kufikia mahitimisho tu lakini hana desa lake mwenyewe
Kwanini unafikiri kuwa atheist ni lazima mtu agundue kitu peke yake?
 
Maoni ya kijinga.

Mimi siamini katika Mungu, uchawi wala kurogana, hivyo siwezi kukuroga.

Nitakuonesha ujinga wa maoni yako tu.
huo uatheist umezaliwa nao au ni wa kuambukizwa?,kama ni wa kuambukizwa basi badilika,umezaliwa umesoma komunyo,ukapata kipaimara mwisho wa siku unakuwa kama ulivyo,unaluwa atheist kwa kusoma nadharia za watu wengine,nadhani nikukuuliza unipe facts zinazokufanya usiamini uwepo wa mungu hautakuwa na jipya zaidi ya kuquote
 
Wewe haya maneno uliyoandika hapa herufi zake umezaliwa nazo au umesoma kwa watu wengine?
 
Kama unasoma kwa makini na unaelewa, utajua nimekujibu. Lakini unasoma na wakati huo huelewi.
Ndio Mungu anajua. Anajua kila kitu.
Kama unavyouona ulimwengu unafikiri ni bahati nasibu. Sasa jambo dogo kama hilo atashindwaje kujua?
 
Back
Top Bottom