Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,858
- 131,502
Nimekuuliza ulifanya tafiti gani mpaka ukalijua hilo?Sababu yeye ndio chanzo.
Sent using unknown device
Nimekuuliza ulifanya tafiti gani mpaka ukalijua hilo?Sababu yeye ndio chanzo.
Huenda mwenzangu ni Mwalimu wa lugha/kiswahili... and I respect that, hivyo tuvumiliane tu.Hilo ni kosa la kiuandishi tu,na si umbile la neno. Sikukusudia kuandika "vilivgomo" wakati wengine wakiandika "zambi" wanajua ndio sahihi.
Unathibitishaje kwa kutumia njia ya milango 5 ya fahamu kama...ulivyofanya kwa muumba mbingu na ardhi....? Kwamba tunajua Mungu yupo kwa kijiangalia sisi wenyewe na ulimwengu ulivyo....
Kwa malaika umetumia njia gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda mwenzangu ni Mwalimu wa lugha/kiswahili... and I respect that, hivyo tuvumiliane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama halihitaji tafiti wewe uliwezaje kujua kua yupo??Sio kila jambo linahitaji utafiti. Mathalani suala la Mola na uwepo wake halihitaji itafiti,bali linataka mapokeo na kutafakari kwa umakini na undani zaidi huku ukiwa unazingatia.
Chukulia wewe unataka ufanye utafiti juu ya uwepo au kutokuwepo kwa Mola,utafata njia zipi ili kuweza kufikia hitimisho lako ?
Hawezi akawa mwalimu wa lugha huyu mbona unamvika vyeo ambavyo hastahili, mbona yeye ndio kakosea mala nyingi kukuzidi hata weweHuenda mwenzangu ni Mwalimu wa lugha/kiswahili... and I respect that, hivyo tuvumiliane tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kupitia mlango upi wa fahamu uliweza kujua kua malaika wapo?Kwa malaika nimetumia milango ya fahamu (macho kwa kusoma,masikio kusikia) nikatumia akili kuelewa na kuweka mafuhumu katika mafungu mafungu na moyo kuhifadhi na ufunuo kuamini.
Ila hii ni faida nakupa,milango ya fahamu haitoshi kukupa maarifa yote.
Je ni mlango gani unakupa sehemu ya maarifa ambayo hayapatikani kwa 5 senses??? Hallucination??Kwa malaika nimetumia milango ya fahamu (macho kwa kusoma,masikio kusikia) nikatumia akili kuelewa na kuweka mafuhumu katika mafungu mafungu na moyo kuhifadhi na ufunuo kuamini.
Ila hii ni faida nakupa,milango ya fahamu haitoshi kukupa maarifa yote.
Sawa... hongera.Sio mwalimu wa lugha na wala si fani yangu,bali napenda sana kuwa fasaha na napenda kujifunza lugha hii.
Sio kila jambo linahitaji utafiti. Mathalani suala la Mola na uwepo wake halihitaji itafiti,bali linataka mapokeo na kutafakari kwa umakini na undani zaidi huku ukiwa unazingatia.
Chukulia wewe unataka ufanye utafiti juu ya uwepo au kutokuwepo kwa Mola,utafata njia zipi ili kuweza kufikia hitimisho lako ?
Mwenendo upi?Angalia mwenendo wa ulimwengu na taratibu zake utajua kwanini haukuwa chanzo na hauwezi kuwa chanzo.
Je ni mlango gani unakupa sehemu ya maarifa ambayo hayapatikani kwa 5 senses??? Hallucination??
Na wewe elewa kwamba out of 5 senses is none-sense.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna jibu lenye kuhusiana na swali langu hapo, kama hayo ni majibu basi hayahusiki na swali languJibu lipo humo humo ulipo ni quote...!
Ukiniambia nifanye utafiti juu ya uwepo wa mola, hapo nitakudai unithibitishie ni kipi kilichokufanya ujue kua kuna kitu kinachoitwa mola?
Siwezi nikakurupuka kuanza utafiti wakati sijakijua kitu gani kilichokufanya useme kua kuna mola. Na hivyo wewe ndiye utakayetakiwa kufanya utafiti halafu mimi nitahitaji uthibitisho kutoka kwako baada ya kufanya tafiti wa uwepo wa kile ulichokidai kua kinaitwa mola
Sent using unknown device
Hakuna jibu lenye kuhusiana na swali langu hapo, kama hayo ni majibu basi hayahusiki na swali langu
Nijibu tena hapa
Je nitafiti gani ulizofanya ukabaini kua mungu yupo?
Na kama swala la uwepo wa mungu halihitaji tafiti wewe uliwezaje kujua kua yupo?
Sent using unknown device