Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

mshana pamoja na kiranga nyie wote wawili ni zero brain...mnaogopana kwa sababu ya ufinyo wenu wa maarifa...yani mnategemea keyword moja akili kuset mtego wa kumbana mpinzani wakoo kwenye hoja...huo ni upungufu wa maarifa zero kabisaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una AKILI ama huna AKILI?

Jr[emoji769]
 
hv mshana una elimu ya kidato cha ngapi....mambo marahisi sana unashindwa kuwa straight unajikorogo koroga....jifunze kuwa mtu makini, huta gain credibility unayoitafuta jf ukishindwa kuwa straight kwenye hoja zako....
Never mind about me... Baki na uhalisia... Jibu si lazima liwe sahihi ama limridhishe muulizaji

Jr[emoji769]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio

Jr[emoji769]
14 Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumwokoa?
Yakobo 2:14

15 Ikiwa ndugu mwanamume au ndugu mwanamke yu uchi na kupungukiwa na riziki,
Yakobo 2:15

16 na mtu wa kwenu akawaambia, Enendeni zenu kwa amani, mkaote moto na kushiba, lakini asiwape mahitaji ya mwili, yafaa nini?
Yakobo 2:16

17 Vivyo hivyo na imani, isipokuwa ina matendo, imekufa nafsini mwake.
Yakobo 2:17

Je! Unakubali kuwa IMANI ni MATENDO? Yaani IMANI = MATENDO?.

Msingi wa matendo ni imani na msingi wa imani ni matendo... Hakuna kimoja kinaweza kusimama pekee

Jr[emoji769]
 
Msingi wa matendo ni imani na msingi wa imani ni matendo... Hakuna kimoja kinaweza kusimama pekee

Jr[emoji769]
Sawa kabisa.Kwa hiyo tunakubaliana kuwa DINI ni IMANI na IMANI ni MATENDO.Je! Ni matendo yapi uhesabika ni katika Imani,na matendo yapi uhesabika si katika Imani?.Au matendo yote ni katika Imani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa kabisa.Kwa hiyo tunakubaliana kuwa DINI ni IMANI na IMANI ni MATENDO.Je! Ni matendo yapi uhesabika ni katika Imani,na matendo yapi uhesabika si katika Imani?.Au matendo yote ni katika Imani?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Imani ni msingi matendo ni matokeo.... Kwakuwa matokeo ya matendo asili yake na chanzo chake ni rohoni.... Na huwezi kuitaja imani bila kuhusisha roho

Jr[emoji769]
 
Hapana sio kweli kabisa... Ni lazima uwe na hakika nacho kwanza. La sivyo inakuwa ni blind faith

Jr[emoji769]
Na ukiwa na uhakika nacho dhana ya kuamini haipo/haitumiki tena...

Watu wa zamani walikuwa wanaamini kipindu pindu ni laana lakini imeshajulikana kwamba kipindu pindu si laana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom