Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mjadala umekushinda wewe mkuu....uliyeuanzisha. sisi wengine tunachomekea tu. Mjibu mshika ulikuwa na maana gani ya unapoandika "akili".

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni kitu kisichoonekana , lakini kinafanya kazi, ni kama charge inavyoingia kwenye simu yako . huioni lakini unasoma asilimia zilivyoingia , na ina kutaarifu muda utakaokuwepo hewani, just like that. Maswali mengine ndio maana maprofesa wanaamua kunywa pombe ili wayajibu..[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo kinachotufanya tusiamini hizi dini, ni kuwa waanzilishi wa dini wenyewe yaan wazungu hawapo serious na dini zao(kama kilivyo kijito cha maji, ambacho chanzo chake kikikauka basi na kijito hakitakuwepo daima)

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Kweli.

Wazungu wapo serious sana katika mambo haya ya dini na Imani.

Mimi nilikuwa na mtazamo kama wako ila ingia kwenye live channels nyingi kama Daystar, Faith TV n.k utagundua hilo.

Wanaabudu na kusifu sanaa kuliko watu weusi.

Pia wana Ministries nyingi sana na zenye nguvu japo zingine pia wanahitaji michango ya kuwaendeleza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshajibu zaidi ya mara 20... Fuatilia utaona... Sasa nakuuliza tena maxime una AKILI ama huna AKILI? jibu NDIO au HAPANA

Jr[emoji769]
AKILI NI AKILI.... ndio lilikuwa jibu lako.. vipi uliweka masahihisho???

Manake sikuendelea kusoma baada ya kuona thread ina infinite loop....
 
Akili ni kitu kisichoonekana , lakini kinafanya kazi, ni kama charge inavyoingia kwenye simu yako . huioni lakini unasoma asilimia zilivyoingia , na ina kutaarifu muda utakaokuwepo hewani, just like that. Maswali mengine ndio maana maprofesa wanaamua kunywa pombe ili wayajibu..[emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana ndio katakiwa kutoa definition mkuu.... not you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKILI NI AKILI.... ndio lilikuwa jibu lako.. vipi uliweka masahihisho???

Manake sikuendelea kusoma baada ya kuona thread ina infinite loop....
Nimejibu hivyo na majibu mengine pia

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom