Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Umekuja na majibu yako tayari. Thats why hutakubali. Mtu yeyote anayetaka kufahamu jambo, atasikiliza kwanza bila bias, atafanya his own reserch na atajua asimame wapi. Hivyo ni juhudi zako binafsi.

Nikuulize tu, hivi kama biblia inayote juu ya maisha kwanini isitumike pekee kufundishia yote? Si imebeba yote yapasayo? Kwanini uitenge na elimu nyingine? Kama yafaa waweke biblia shuleni na kila mahali iweyenyewe tu.Kwakua imebeba yote.
Biblia ilipaswa ikufungue juu ya kila kitu na usitegemee other sources. Sasa wewe unasoma biblia ukitaka jambo juu ya nutrients na matibabu ya afya yako unatafuta vitabu visivyo niambie kwanini?
Kwani mkuu nimefanya vibaya kuuliza hivyo vitabu kwanini vifichwe na sio kuchomwa moto vikapotea kabisa?
Maana naona umetmchukulia kama vile nimeuliza kwa shari.
 
Sina shari kabisa. Nimekuchoza ili ujue utafanya nini. Nimeku ambia jambo jipya, ulichopaswa kufanya its to do your own research juu ya niliyokuambia. Go and dig the roots. Kinyume na hapo utakua sawa na mtu asiye msomi au mtoto. Fanya uchunguzi bila bias kwa yote niliyoyaandika kuchokoza mada ujue utasimama wapi kama mwafrika. Hili litakusaidia.
 
Nimejaribu sana kupata dhana ya KANISA unalozungumzia, nimekosa! Nikajaribu kukuuliza unijibu ukaishia kusema nikasome vitabu na kuingia Google! Je Google ndio trusted instrument kama source ya justification ya maelezo yako?
Mkuu Nimeshakujibu hilo swali na nikataja hilo kanisa angalia koment za nyuma
 
Mshana Jr said:
nafikiri una tatizo kubwa la kimtazamo na kiuhalisia kwenye mijadala migumu... Unaulizwa A unajibu C..... Hebu pitia usome tena nilichoandika mimi na ulichojibu wewe... Lakini pengine kwakuwa hicho ndio kiwango chako cha ufahamu kilipofikia hutaweza kuona tofauti

Siyo kila reply lazima uijibu,

Ukiona zingine zimekuzidi ufahamu unaachana nazo!.

Umeuliza nikuoneshe maeneo yaliyoathiriwa na ujio wa hizi dini zenu,ili kuonesha u-useless wake,

Nimekutolea mifano ya vita visivyoisha baina ya Israel na Palestina wanaopigania eti mji mtakatifu wa Jerusalem.

Kumbuka maeneo hayo ndiko mambo ya dini yalianzia.

Nimekutajia vikundi vya kigaidi kama vile Bokoharam na A-shabaab.

Bokoharam wao hawataki elimu ifundishwayo na sehemu kubwa ya dunia (Formal education) ifundishwe nchini mwao,wanataka muda wote ni elimu ya dini tu.

Al-shabaab wakikushika cha kwanza unapigwa aya za Quran,ukishindwa kichwa chako halali yao.

Ant-baraka (hawa ni wakristo) nao wanakinukisha mbaya mbovu pale Afrika ya kati.

Majuzi mapadiri wa Amerika kusini wamelawiti watu hadi papa kuingilia kati

Jana napo shehe ubwabwa wa Kagera kapigwa miaka sitini kwa kubaka na kulawiti vitoto vya madrassa,na ni wakati wa ramadhan
sasa.

Yaani wanatumia vichaka vya dini kulawitia wanetu na kubaka.

Na huu ndiyo u-useless ninaousema.

Sasa kama haya huyaoni ama huyajui kaa kimya!!
 
Siyo kila reply lazima uijibu,

Ukiona zingine zimekuzidi ufahamu unaachana nazo!.

Umeuliza nikuoneshe maeneo yaliyoathiriwa na ujio wa hizi dini zenu,ili kuonesha u-useless wake,

Nimekutolea mifano ya vita visivyoisha baina ya Israel na Palestina wanaopigania eti mji mtakatifu wa Jerusalem.

Nimekutajia vikundi vya kigaidi kama vile Bokoharam na A-shabaab.

Bokoharam wao hawataki elimu ifundishwayo na sehemu kubwa ya dunia (Formal education) ifundishwe nchini mwao,wanataka muda wote ni elimu ya dini tu.

Al-shabaab wakikushika cha kwanza unapigwa aya za Quran,ukishindwa kichwa chako halali yao.

Ant-baraka (hawa ni wakristo) nao wanakinukisha mbaya mbovu pale Afrika ya kati.

Majuzi mapadiri wa Amerika kusini wamelawiti watu hadi papa kuingiia kati

Jana napo shehe ubwabwa wa Kigoma kapigwa miaka sitini kwa kubaka na kulawiti vitoto vya madrassa,na ni wakati wa ramadhan sasa huu.

Yaani wanatumia vichaka vya dini kulawitia wanetu na kubaka.

Sasa kama haya huyaoni ama huyajui kaa kimya!!
Acha izo wewe unatolea mfano wa siasa za ulimwengu wa wababe na vitu vya kutengenezwa na wazungu na mashindano ya kugombea usukani na ubabe wa dunia huku watu wakifanya biashara ya silaha madawa nk... Huna macho wewe?
Tunachojadili hapa ni zaidi ya hivyo vikundi vya kutengenezwa kwa maslahi ya watu fulani.... Panua ufahamu wako think beyond that guy... Your examples are irrelevant kwa ishu tunayojadili hapa
 
Siyo kila reply lazima uijibu,

Ukiona zingine zimekuzidi ufahamu unaachana nazo!.

Umeuliza nikuoneshe maeneo yaliyoathiriwa na ujio wa hizi dini zenu,ili kuonesha u-useless wake,

Nimekutolea mifano ya vita visivyoisha baina ya Israel na Palestina wanaopigania eti mji mtakatifu wa Jerusalem.

Nimekutajia ujio wa vikundi vya kigaidi kama vile Bokoharam na A-shabaab.

Bokoharam wao hawataki elimu ifundishwayo na sehemu kubwa ya dunia (Formal education) ifundishwe nchini mwao,wanataka muda wote ni elimu ya dini tu.

Al-shabaab wakikushika cha kwanza unapigwa aya za Quran,ukishindwa kichwa chako halali yao.

Ant-baraka (hawa ni wakristo) nao wanakinukisha mbaya mbovu pale Afrika ya kati.

Majuzi mapadiri wa Amerika kusini wamelawiti watu hadi papa kuingilia kati

Jana napo shehe ubwabwa wa Kigoma kapigwa miaka sitini kwa kubaka na kulawiti vitoto vya madrassa,na ni wakati wa ramadhan sasa huu.

Yaani wanatumia vichaka vya dini kulawitia wanetu na kubaka.

Sasa kama haya huyaoni ama huyajui kaa kimya!!
Avoid repetitions na mbwembwe za kuweka rangi rangi kama mtoto wa chekechekea... Naona toka umejua kuweka hizo rangi ushanogewa sasa... Hili pekeyake linaweza kukutambulisha ufahamu wako, uelewa na kiwango chako IQ
.
 
Acha izo wewe unatolea mfano wa siasa za ulimwengu wa wababe na vitu vya kutengenezwa na wazungu na mashindano ya kugombea usukani na ubabe wa dunia huku watu wakifanya biashara ya silaha madawa nk... Huna macho wewe?
Tunachojadili hapa ni zaidi ya hivyo vikundi vya kutengenezwa kwa maslahi ya watu fulani.... Panua ufahamu wako think beyond that guy... Your examples are irrelevant kwa ishu tunayojadili hapa
Kuwepo kwa wababe wa dunia na kuuziana silaha huku wakitumia dini ktk hizo mishe ni ushahidi mwingine kuwa Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote hayupo.

Angekuwepo asingeruhusu wababe wa dunia kuiteka dunia kiasi cha dini zake kuanza kuchezewa kiasi hiki.

Sijui unalijua hilo!?
 
Kwa mtazamo huu nimegudua wewe hujui kitu kabisa kwenye dini imani na Mungu... Na hata elimu uliyonayo haijakusaidia lolote kwenye hizo nyanja
Yani ni sawa na kumlaumu mwalimu kwa mwanafunzi aliyefeli... Ni nani aliyekuambia kuwa Mungu kwa mtazamo wako ni mtu fulani anayeendesha dunia kwa remote na chini yake ni mazombi!?
Unafahamu utashi ninini? Unafikiri binadamu ni marobot yanayoenda kwa kuamrishwa?
 
Siyo kila reply lazima uijibu,

Ukiona zingine zimekuzidi ufahamu unaachana nazo!.

Umeuliza nikuoneshe maeneo yaliyoathiriwa na ujio wa hizi dini zenu,ili kuonesha u-useless wake,

Nimekutolea mifano ya vita visivyoisha baina ya Israel na Palestina wanaopigania eti mji mtakatifu wa Jerusalem.

Kumbuka maeneo hayo ndiko mambo ya dini yalianzia.

Nimekutajia vikundi vya kigaidi kama vile Bokoharam na A-shabaab.

Bokoharam wao hawataki elimu ifundishwayo na sehemu kubwa ya dunia (Formal education) ifundishwe nchini mwao,wanataka muda wote ni elimu ya dini tu.

Al-shabaab wakikushika cha kwanza unapigwa aya za Quran,ukishindwa kichwa chako halali yao.

Ant-baraka (hawa ni wakristo) nao wanakinukisha mbaya mbovu pale Afrika ya kati.

Majuzi mapadiri wa Amerika kusini wamelawiti watu hadi papa kuingilia kati

Jana napo shehe ubwabwa wa Kigoma kapigwa miaka sitini kwa kubaka na kulawiti vitoto vya madrassa,na ni wakati wa ramadhan
sasa.

Yaani wanatumia vichaka vya dini kulawitia wanetu na kubaka.

Na huu ndiyo u-useless ninaousema.

Sasa kama haya huyaoni ama huyajui kaa kimya!!
Mkuu Buyamba kuna kitu kina itwa Grandiosity sasa Mheshimiwa Mshana analo hilo tatizo me nimeshamsoma yaan yeye anajifanya ndio muelewa sana,point nzuri zote zake,maneno mazuri wengne anawaona hawana uelewa,point sasa hapo dx mania ugonjwa hatari sana
 
Aisee...! Kwahiyo hupendi apingwe!? Ila akipinga yeye ni sawa!? Mitazano mingine burudani tupu... Sasa wewe umeshanihukumu kwahiyo wewe ndio bora zaidi? Wewe ndio unajua zaidi? Nini maana ya mjadala...?
IMG-20180520-WA0201.jpg
 
Nimekuuliza ni watu wa wapi ambao hawajui kiingereza? maana kutokujua kwao kiingereza hushindwa kupata maarifa mengi ambayo yapo kwenye lugha ya kiingereza na hatimaye hadi zama hizi bado wanaendelea kuamini Mungu.
Wengi wa JF wanaopinga mambo bila ya kuyaelewa.

Huko kwingine wenye kujua Kiingereza wengi hata wakipinga wanapinga kwa werevu.
 
Aisee...! Kwahiyo hupendi apingwe!? Ila akipinga yeye ni sawa!? Mitazano mingine burudani tupu... Sasa wewe umeshanihukumu kwahiyo wewe ndio bora zaidi? Wewe ndio unajua zaidi? Nini maana ya mjadala...? View attachment 789952
Upinge kwa hoja sasa kwa maneno yaliyokuwa hayana mantiki,jiulize mbona sijamtaja Mkuu Samarittan kwakuwa yupo smart ktk hoja anakupinga kwa hoja sio kama ww yupo fair kama jina lake lakn sio ww, hata siku moja mwizi ukimwambia kaiba hawezi kubali dx mania inabdi upunguze Grandiosity ukitaka kuwa muungwana
 
Sina shari kabisa. Nimekuchoza ili ujue utafanya nini. Nimeku ambia jambo jipya, ulichopaswa kufanya its to do your own research juu ya niliyokuambia. Go and dig the roots. Kinyume na hapo utakua sawa na mtu asiye msomi au mtoto. Fanya uchunguzi bila bias kwa yote niliyoyaandika kuchokoza mada ujue utasimama wapi kama mwafrika. Hili litakusaidia.
Hata mie nimekuuliza ili kuchokoza mada,maana wengi huishia kusema kuna vitabu vimefichwa.

Ingekuwa vyema kama ungenijibu kama unajua ni kwanini haviteketezwi hivyo vitabu?
 
Kwa mtazamo huu nimegundua wewe hujui kitu kabisa kwenye dini imani na Mungu... Na hata elimu uliyonayo haijakusaidia lolote kwenye hizo nyanja
Yani ni sawa na kumlaumu mwalimu kwa mwanafunzi aliyefeli... Ni nani aliyekuambia kuwa Mungu kwa mtazamo wako ni mtu fulani anayeendesha dunia kwa remote na chini yake ni mazombi!?
Unafahamu utashi ninini? Unafikiri binadamu ni marobot yanayoenda kwa kuamrishwa?

Kutokujua kwangu kitu kabisa ktk dini ni ushahidi mwingine wa Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote na ujuzi wote hayupo

Angekuwepo asingeruhusu Mshana Jr pekee yake kujua kila kitu kuhusu dini huku mimi kiumbe chake mwingine, tena mwenye jina la Emmanuel nikibaki sijui kila kitu kuhusu dini hiyohiyo.

Huko makanisani na Misikitini si mnajifundisha kuwa mbinguni kuna peponi!?

Na huko peponi hakuna magonjwa,hakuna vita,hakuna dhuluma,hakuna mabomu wala bunduki,yaani hakuna chochote kibaya siyo!?

Ndiyo kusema huko mtakuwa mnaendeshwa kwa rimoti!?

Ama mbinguni kunawezekana mabaya kutotokea ila duniani ambako pameumbwa na Mungu huyohuyo pia panashindikana!?

Hapa inahitajika uwe umevuta bangi gunia zima ili kuwaeleweni aise!!
 
Nani aliyesema Mungu amedanganya, si ni wewe? Kukwambia uthibitishe imekua nongwa unazungukazunguka tu.

Kanisa ndio Mungu? Unamaanisha nini ukisema kanisa kwanza?

Unajua au unaamini kwamba Mungu amedanganya? Kumbuka haya maneno ni ya kwako uliyasema huko juu. Nikakuuliza, mheshimiwa, una uhakika Mungu amedanganya ukasema kadanganya, sasa nakuomba ututhibitishie, unaleta mambo ya Gallileo na kanisa.
Sitachoka kukusaidia,mungu amedanganya ktk biblia kupitia kitabu cha jeshua aliposema jua limesima kumbe jua siku zote lipo limesimama, Gallieo akasema hapana dunia ndio inazunguka kanisa likampa hukumu kwakuwa alionekana anapingana na maneno wakamuua lakn mwaka 1992 wakaomba msamaha wakatengua hukumu
 
Upinge kwa hoja sasa kwa maneno yaliyokuwa hayana mantiki,jiulize mbona sijamtaja Mkuu Samarittan kwakuwa yupo smart ktk hoja anakupinga kwa hoja sio kama ww yupo fair kama jina lake lakn sio ww, hata siku moja mwizi ukimwambia kaiba hawezi kubali dx mania inabdi upunguze Grandiosity ukitaka kuwa muungwana
Bado uko defensive sana na KULAZIMISHA nikubaliane na mtazamo wako ambao sio uhalisia wangu!? Hizi judgments sio sehemu ya mjadala kwanini nikubaliane na mtazamo nisiokubaliana nao ili kumridhisha mtu!? Am sorry siko tayari... Mbona nilipokusifu na kukushukuru uliponijibu kuhusu akili hukunipongeza!? Ulitegemea niendelee kukusifu hata katika mambo niliyokubaliana nayo?
Nisifu upotoshaji kuhusu ugaidi duniani? Kwamba eti Mungu ndio kaleta ugaidi na blah blah zingine?. Siko hivyo na sitakuwa tayari kuongozwa kiupotoshaji kwa kuhofia kupewa majina na lebo za ajabu ajabu
 
Sitachoka kukusaidia,mungu amedanganya ktk biblia kupitia kitabu cha jeshua aliposema jua limesima kumbe jua siku zote lipo limesimama, Gallieo akasema hapana dunia ndio inazunguka kanisa likampa hukumu kwakuwa alionekana anapingana na maneno wakamuua lakn mwaka 1992 wakaomba msamaha wakatengua hukumu

... Aliposema jua limesimama....
... Akasema hapana dunia ndio inazunguka....
Kwahiyo kwa mtazamo wako jua ndio linazunguka na dunia ndio imesimama?
 
Wengi wa JF wanaopinga mambo bila ya kuyaelewa.

Huko kwingine wenye kujua Kiingereza wengi hata wakipinga wanapinga kwa werevu.

Kumbe members wa JF wanaamini Mungu hadi zama hizi ni kwa sababu hawajui kiingereza hivyo wanakosa maarifa yaliyo kwenye vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza.

Sasa je,hao wengine wanaojua kiingereza na ni wasomi mbona bado hadi zama hizi wanaamini Mungu?
 
Bado uko defensive sana na KULAZIMISHA nikubaliane na mtazamo wako ambao sio uhalisia wangu!? Hizi judgments sio sehemu ya mjadala kwanini nikubaliane na mtazamo nisiokubaliana nao ili kumridhisha mtu!? Am sorry siko tayari... Mbona nilipokusifu na kukushukuru uliponijibu kuhusu akili hukunipongeza!? Ulitegemea niendelee kukusifu hata katika mambo niliyokubaliana nayo?
Nisifu upotoshaji kuhusu ugaidi duniani? Kwamba eti Mungu ndio kaleta ugaidi na blah blah zingine?. Siko hivyo na sitakuwa tayari kuongozwa kiupotoshaji kwa kuhofia kupewa majina na lebo za ajabu ajabu
Ukiwa una jibu kwa hoja hapo sina tatizo wala siofii kupingwa nipo hapa kujifunza lakn si kumuambia mtu poor reply halafu hujamuonyesha wapi alipokosea inawezekana pia ww ndio umekosea hapo
 
Back
Top Bottom