We pia ulikuwa humzuii??!!!!!!!!!!!!alisharipoti hadi polisi bt jamaa anajulikana kwa ukorofi wake eti hadi polisi wanamgwaya ukimshtaki hachukui hata dakika kumi ndani naskia watu wanamwogopa sana eti kisa alishauaga mtu kipindi cha nyuma....dada alikua hata akitoroka kurudi hom anafatwa hata usiku wa manane na ole wake atakaemzuia...