Mabinti wakusikilize wewe ili waendelee kuwa vilema na kufa kwenye Ndoa kwa sababu ya Unyama wa Wanaume!
Imekula kwako. Ukitili wa Kijinsia Hapana hata Ndoa 1000000000 haina kwere...
Mpaka utakapojua kumpenda mkeo na kuacha vitendo vya Unyanyasaji... fyuuuuuuu
binti mwenyekuendesha kipindi elimu hana...wafikiri uwezo wake wa kupambanua mambo utakuwa mkubwa...? naamini hata malezi mazuri hajapata toka kwa wazazi wake....
jamaa ukweli sina wivu.... sina wivu!Nadhani watu kama ninyi kuna element ya wivu inawanyemelea. Joyce mwenyewe anakiri ameanza maisha katika hali duni sana hata aliwahi kuwa house girl. Amejitambua ,amejiendeleza na amebadili maisha yake. Na sasa ana inspire wanawake wengine katika ujasiliamali kujitambua na kupigania haki yake.Aliwahi kujaribu kuongea sentensi kadhaa za kiingereza na kusema iko siku atakuwa hodari wa lugha hiyo adhimu na kukiri kuwa bado anajifunza. Sasa mtu aliyekuwa housegirl, leo ni activist mkubwa katika jamii yetu, kama kuna mahali anakosea mshaurini sio kumtuhumu na kukejeli eti hana elimu.Elimu haina mwisho achene WIIIIIIIVUUUUU. Joyce kwa historia yake anafanya makubwa!! Big up my Seper Woman!!
nafikiri hilo pekee yake linatosha sana nia ya mleta uzi haikuwa mbaya kikubwa ni kuangalia wapi umekosea na urekebishe vipi sisi bianadamu sio malaika achana na habari za sijui imekula kwako, ndoa 1000000000000 mara fyuuuuuuuu........Mleta uzi nakushukuru sana. Nitachanganya na za kwangu, nitafanya maboresho kwa ushauri nilioupata hapa. Huu ni mwaka wa Kibali Kikubwa sana kwangu na Taifa langu... kupata ushauri mwingi kutoka hapa Jf ndo Kibali namba 1.
Mods naomba mkanibadilishie iwe Joyce Kiwia na sio Joyce Kiria; Samahani wanaJF
Huyu dada n opportunist balaa....mabinti msimsikilize .... mkimfuata ndoa zitawashinda kama zinavyomshinda...ukiona mtu anajisifia kwa kuachika na kuolewa Jiulize malambili...am sory jaman nilisahau kua elim yake imeelemewa na atakacho kufanya...tumvumilie tu
Pia hiki kipindi huwa hakifuati sheria na maadili ya habari!! Kuonesha sura ya mwanamke au mtoto aliyenyanyasika kijinsia si sawa, kuna mama mmoja alibakwa alikuwa anahojiwa na Joyce bila hata kuficha sura, kuna yule aliyekatwa mkono na mumewe pia vivyo hivyo!! Lakini kubwa zaidi kuna siku alikuwa anakahoji katoto ka kike kamenyanyaswa kijinsia wazi wazi bila kumficha sura wala nini.
Sijajua kama yupo juu ya sheria au?? Na TCRA unawatumia taarifa wala hakuna action yoyote inayochukuliwa!! Ngoja tuone mwisho wake kama kitakuwa na matokeo mazuri kwa jamii kama anvyofikiria!!
vichwa vya wanawake 100 wenye masters ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza darasa la saba...vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza kidato cha nne.....vichwa 100000 vya wanawake waliomaliza elimu ya msingi ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume anayesoma chekechea...
Kijana Juzi
Sasa hapa wa kumlaumu ni Joyce Kiriya au TCRA?? Jamani tujifunze sana kuyapeleka malalamiko pale ipasapo. Wengine mnaanza kuuliza kiwango chake cha elimu nk hivi tujiulize je inahitaji digirii ya Masters ili kuwa Presenter kwenye TV?? Vitu vingine jamani tusiwe Biased hivyo.
Let us hope that anachokifanya kitawafanya wengine wabadilike haraka.
vichwa vya wanawake 100 wenye masters ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza darasa la saba...vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza kidato cha nne.....vichwa 100000 vya wanawake waliomaliza elimu ya msingi ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume anayesoma chekechea...