Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

No wonder hii mada imeletwa na mwanamke, maana nimeskia adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Kwahiyo katika talk show zote ya Joyce ndio ina lugha kali??? Badala ya kumtia moyo mwanamke mwenzio, based on her past history na elimu yake anajitahidi sana. Wanawake acheni hizo!!!
 
Katika television zetu pamekuwa na utitiri wa uanzishwaji wa vipindi vyenye kuongozwa na watu binafsi Mfano Jenerali on Monday, This week in perspective, je tutafika, mimi na tanzania-Hoyce Temu, Diary ya Lady Jay Dee, Wema Sepetu in My Shoes, WANAWAKE LIVE-CHA JOYCE KIWIA Kileo na vingine.

Uanzishwaji wa vipindi hivi sijui unazingatia nini lakini kipindi cha wanawake live ni kipindi Muhimu hasa ambapo wanawake tunahitaji usawa na wanaume lakini SI kuwa sawa., ni kipindi sensitive kinachohitaji mwongozaji makini pengine mwenye uelewa wa hali ya juu ya Gender, Sociology, Sheria, Pschology n.k mi sijui Joyce Kiwia ana elimu gani maana hiki kipindi kitageuka janga siku sio nyingi. Anatumia maneno makali kwa wanaume mf Aliwahi kumwambia mzee mmoja "mbebe mkeo kama ulivyokuwa unamtongoza"! ha-balance story (kusikiliza pande mbili) yeye anahukumu tu.

Lakini anaongea na mambo ambayo yanaweza kusababisha chuki kwenye familia hasa ambazo hazina uwezo wa kuchambua mambo vizuri na ndoa zitavunjika na kusambaratika nyingi. Lakini baadae itaathiri hata siasa za Henry Kilewo negatively kama mambo hayatabadilika.

Wanawawake tunahitaji utetezi bila kuathiri ndoa zetu au kudhalilisha waume zetu.

Anaitiwa JOYCE KIRIA..fanya homework vzuri co joyce kiwia???
 
Uvaaji wake wa nguo hovyo visiketi vifupi .......mavazi ya kukosesha ni dhambi,kama vipi mashabiki wake mkimind mwambieni aendelee, anaboa sana tabia yake hiyo.
 
Ni kweli hili la kutobalance story nimwliona hata kipindi nafikiri kilichopita kilizungumzia mzee aliye mtelekwza mke wake ndani uki akiwa ni mgonjwa hata kutembea hawezi.

Lakini cha kusikitisha alimuhukumu sana yule mzee bila hata kumuhoji japo ndugu wa yule mzee akabaki kuwahoji ndugu tu wa yule bibi.

Mauthui ya kipindi ni kizuri lakini apunguze jazba na hisia zake binafsi.
 
elimu ya joyce kiria ni darasa la saba (7).
Historia inaonyesha kwamba aliwahi kuolewa kwanza na mume mwingine tena kwa ndoa kabla hajaolewa tena na kufunga tena ndoa na huyu henry kileo.

pengine umejikuta unaandika vitu ambavyo havi husiani na mada hii kabisa na kwa mwendo huu utajikuta umebadilisha mantiki.

Kwanza lazima tukubali kuwa Joyce Kiria ana jitahidi sana tena sana.

Kuna mambo ana hitaji kushauriwa hili kuboresha kipindi hasa kwenye matumizi ya lugha maana anajikuta anatekwa na hisia zake nakatik hili pengine ni wanawake wachache wanaweza kuepuka.

Kuna kipindi tulishajadili sana kuhusu matumizi ya lugha na kuwalinda watoto walio athiriwa kijinsia hasa under 18 nafikiri ili kuwa mmu na sio mbaya Moderator wakauunganisha na ule.

Na katika ule uzi kuna mambo tulimshauri nami naona amejitahidi kuyafata maana nimeonaa akificha sura za watoto kwenye matukio tofauti.

Pamoja na kuwa yeye si mwana habari lakini anajitahidi sana kufata mct codes of ethics na ukiangalia hayo makosa anayo tuhumiwa nayo ni wazi ni makosa ya producer wa kipindi.

Me nafikiri tumshauri ili aweze kukiboresha na si kumkatisha tamaa.

Makosa hayo ya Joyce Kiria yanafanywa pia tena sana na waandishi na watangazaji wengi tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Kwel huyu mdada anatakiwa kuwa makini.
Yeye kaz kuhukumu wanaume tu abadilike.
 
Nami huwa nafatilia maneno anayo tumia Joyce Kiria huwa makali nakuishia kuhukumu pasipo kuelewa.
 
Katika television zetu pamekuwa na utitiri wa uanzishwaji wa vipindi vyenye kuongozwa na watu binafsi Mfano Jenerali on Monday, This week in perspective, je tutafika, mimi na tanzania-Hoyce Temu, Diary ya Lady Jay Dee, Wema Sepetu in My Shoes, WANAWAKE LIVE-CHA JOYCE KIWIA Kileo na vingine.

Uanzishwaji wa vipindi hivi sijui unazingatia nini lakini kipindi cha wanawake live ni kipindi Muhimu hasa ambapo wanawake tunahitaji usawa na wanaume lakini SI kuwa sawa., ni kipindi sensitive kinachohitaji mwongozaji makini pengine mwenye uelewa wa hali ya juu ya Gender, Sociology, Sheria, Pschology n.k mi sijui Joyce Kiwia ana elimu gani maana hiki kipindi kitageuka janga siku sio nyingi. Anatumia maneno makali kwa wanaume mf Aliwahi kumwambia mzee mmoja "mbebe mkeo kama ulivyokuwa unamtongoza"! ha-balance story (kusikiliza pande mbili) yeye anahukumu tu.

Lakini anaongea na mambo ambayo yanaweza kusababisha chuki kwenye familia hasa ambazo hazina uwezo wa kuchambua mambo vizuri na ndoa zitavunjika na kusambaratika nyingi. Lakini baadae itaathiri hata siasa za Henry Kilewo negatively kama mambo hayatabadilika.

Wanawawake tunahitaji utetezi bila kuathiri ndoa zetu au kudhalilisha waume zetu.[/QUOTE

Mkuu

Naungana nawe kwa 100%
 
hopefully maoni yako yamefika kwa wahusika, wayafanyie sasa.

i think you have a point there.
 
Kwa kuwa ni mwanajf basi asisite kupitia huu uzi ili kujua wapi huwa anateleza na wapi huwa anapatia vizuri maana bila watazamaji kipindi chake kitakuwa hakina tija yoyote kwa jamii. Pia ni bora sana kwa mtu anayesema pale anapoona hapako sawa kuliko anayekaa kimya tu.

CC: Joyce K :- Kwa utekelezaji wa haya mambo ndani ya kipindi chako cha Wanawake Live
 
Elimu ya JOYCE KIRIA ni darasa la saba (7).
Historia inaonyesha kwamba aliwahi kuolewa kwanza na mume mwingine tena kwa ndoa kabla hajaolewa tena na kufunga tena ndoa na huyu HENRY KILEO.

Hivi lengo ni kujadili kipindi cha Wanawake Live au kumjadili muendesha kipindi??

Haya wewe unayejifanya unaelimu sana kuliko watu wote tueleze kipi cha maana ushafanya angalau kwa mtaa wako tu.

Mijitu mingine wivu wa kijinga tuuuuuuuuu
 
Kweli kabisa, huyo Joyce Kiria, not Kiwia or Kirya? Ni janga, nadhani hajui hata matumizi ya maneno, nadhani Elimu yake pia ni tatizo ndio maana anashindwa kuchambua mambo kwa uweledi na lugha ya staha. Na si yeye tu Kuna jamaa anaendesha Kipindi Radio EATV anaitwa Zembwea, duuuh, janga hajui hata mfumo wa serikali ukoje, hajui hata wapi watu wanapata haki zao..... Joyce Kiria alikuwa mchambuzi wa Bongo Movie kule Clouds FM kabla ya kuja wanawake LIVE, nadhani hayo mazingira ya Clouds na Kipindi alichokuwa anaongoza kule ndio kimemfanya ashindwe kufikir vyema na kujua lugha (muktadha) sahihi kwa wakati.

Elimu: Nina uhakika ni drs la saba, labda kama amejiendeleza sasa hivi, na alikuwa anauza duka la nguo KARIAKOO kwa Anaitwa Moria, analifukuzwa baada ya kutuhuma za kuwa mwingi wa habari kwenye eneo la kazi.

ALIWAHI KUOLEWA NA DJ maarafu ndani ya Clouds FM anaitrwa Muli Bling cjui nn, wanajua majina yao wenyewe! Unaweza kukonect dots..uwezo wake katika Wanawake Live na maisha yake ya nyuma...
 
binti mwenyekuendesha kipindi elimu hana...wafikiri uwezo wake wa kupambanua mambo utakuwa mkubwa...? naamini hata malezi mazuri hajapata toka kwa wazazi wake....
Yote uliyosema yanaweza kuwa sahihi,je kama hana elimu na hajapata malezi mazuri haya ni makosa yake?Unamsaidiaje wewe uliyepata elimu ili awe na uwezo wa kupambanua mambo na kipindi kiwe bora?au unashauri kisiwepo na yeye aishi kinyonge tu kwa vile hana elimu?au asijaribu kufanya kitu kizuri kwa vile hakupata malezi mazuri toka kwa wazazi?je ukimshauri akualike wewe uliyepata elimu ili umsaidie kuweka mambo vizuri unadhani atakataa?Heri ya mwaka mpya 2014!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mleta mada ana wivu wa kike!

Unashangaa pamoja na kwamba mwendesha kipindi Ana elimu ndogo ya darasa la saba na pamoja na history yake isiyovutia ya kupitia magumu,lakini ameweza kuwazidi nyie mlomaliza vyuo na masters na p.h.d zenu!

Acha wivu,UTAKUUA!
 
Nitoleee uharo wako hapa!!!mi nshakula pilau ya mwaka mpya,usinitapishe!!Nimezungumzia akili ndogo za bi Joyce Kiria na nikazifanisha udogo wake na akili za Bi Josephine Mshumbuzi.Kiria laiti zingekuwemo,maudhui ya kipindi chake ni mazuri ,angekiendesha kukidhi maudhui,sasa imekuwa kama sehemu ya yeye naye kujidhihirisha naye yupo yupo tusimsahau ni kam tu hawala ya Padri!!na kimbelembele chake,hayo uliyoyazungumza mi cyajui,anzisha thread yake tuchangie!!!!Tafadhali kama hujala pilau ya mwaka mpya husinijibu,naogopa uharo mwenzio nimeshiba mie usije ukanitapisha.

Wewe utakuwa chizi unayedandia hoja bila kufuatilia kipindi husika katika kipindi hiki cha Wanawake Live tumeshuhudia watoto wa kike walioodheshwa katika umri mdogo wakiokolewa pia wale akina mama wanaonyanyaswa na waume zao pale wanapokuwa wagonjwa na kutelekezwa bila matibabu wakipelekwa Hospitali, Labda nikuulize tu wewe unaejifanya una akili kubwa umeishawahi kuisaidia jamii tofauti na mkeo na watoto wako? Usilete ujinga wa siasa katika mambo yasiyohusu Siasa wewe kama uliisha gongwa na Dr. Slaa ukaachwa usilite wivu wako hapa JF.
 
Mods naomba mkanibadilishie iwe Joyce Kiwia na sio Joyce Kiria; Samahani wanaJF
 
Believe me, huyo dada ni akili ndogo,ni nafasi tu katika maisha kama ilivyo kwa kina josephine mushumbuzi!!

mna wivu kweli
kipindi abuni yeye,alipie yeye atangaze yeye
leo kimevuma mnaaza umbeya!
ulitaka nani asimamie hicho kipindi?
 
Wewe utakuwa chizi unayedandia hoja bila kufuatilia kipindi husika katika kipindi hiki cha Wanawake Live tumeshuhudia watoto wa kike walioodheshwa katika umri mdogo wakiokolewa pia wale akina mama wanaonyanyaswa na waume zao pale wanapokuwa wagonjwa na kutelekezwa bila matibabu wakipelekwa Hospitali, Labda nikuulize tu wewe unaejifanya una akili kubwa umeishawahi kuisaidia jamii tofauti na mkeo na watoto wako? Usilete ujinga wa siasa katika mambo yasiyohusu Siasa wewe kama uliisha gongwa na Dr. Slaa ukaachwa usilite wivu wako hapa JF.

Mi sibishani na wewe tena,nimekwambia maudhui ya kipindi ni mazuri ila muendeshaji kipindi akitendei haki kwa sababu ya akili ndogo,and bear on your mind akili ndogo sio elimu ndo maana nimeweza kulinganisha udogo wake wa akili na bi mshumbuzi ambaye ana shule!!
Kwa heri ya kuonana!!!
 
Back
Top Bottom