Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

Mabinti wakusikilize wewe ili waendelee kuwa vilema na kufa kwenye Ndoa kwa sababu ya Unyama wa Wanaume!

Imekula kwako. Ukitili wa Kijinsia Hapana hata Ndoa 1000000000 haina kwere...

Mpaka utakapojua kumpenda mkeo na kuacha vitendo vya Unyanyasaji... fyuuuuuuu

Ni vema ulivyofanya Joyce kusikiliza ushauri woote na kujibu baadae kidogo. Ukweli kipindi ni kizuri lakini kinahitaji marekebisho ambayo naamini umeyachukua na kuyazingatyia. Ukweli kitendo cha ukatili alichofanya yule baba ni kibaya sana. lakini approach iliyotumika ndio wengi wanajiuliza kwa kweli nami niliposikia mbebe mkeo kama ulivyo.... mh nilishtuka kidogo. Hivyo Joyce siskiliza mawazo ya watu ili uboreshe kipindi chako. Aidha jitahidi kuhibiti hasira il;i ulinde utu wako.
Kitu kingine elimisha jamii kufuata mambo fulani unayooona yanajenga lakini sidhani kama yote upendayo au uliyoyafanya ni shahihi kama unavyotaka watu wote waamini.
Angalia vipindi vyako uone uliopojikwaa uboreshe zaidi ili upate wadau wengi zaidi wanawake, wanaume, vijana na jamii kwa ujumla. Sidhani kama ulianzisha kipindi kuwaponda wanaume bali ni kutoa amtukio mbalimbali yanayotakiwa kupatiwa ufumbuzi kwa jamii nzima na si kuchochea mafarakano.
Kuhus hali ya yule mama ambaye hakupelekwa hospitali muda mrefu imeniachia maswaaali mengi mno na mafundisho mengi mno mno mno, si tu ukatli wa yule baba bali 'kutowajibika' kwa wengi wanaomzunguka yule mama so sad. Ni kushukuru Mungu sasa ana hali nzuri.
Mwisho kwa kazi unayoifanya jifunze saaana kudhibiti hasira.
 
Nadhani watu kama ninyi kuna element ya wivu inawanyemelea. Joyce mwenyewe anakiri ameanza maisha katika hali duni sana hata aliwahi kuwa house girl. Amejitambua ,amejiendeleza na amebadili maisha yake. Na sasa ana inspire wanawake wengine katika ujasiliamali kujitambua na kupigania haki yake.Aliwahi kujaribu kuongea sentensi kadhaa za kiingereza na kusema iko siku atakuwa hodari wa lugha hiyo adhimu na kukiri kuwa bado anajifunza. Sasa mtu aliyekuwa housegirl, leo ni activist mkubwa katika jamii yetu, kama kuna mahali anakosea mshaurini sio kumtuhumu na kukejeli eti hana elimu.Elimu haina mwisho achene WIIIIIIIVUUUUU. Joyce kwa historia yake anafanya makubwa!! Big up my Seper Woman!!
binti mwenyekuendesha kipindi elimu hana...wafikiri uwezo wake wa kupambanua mambo utakuwa mkubwa...? naamini hata malezi mazuri hajapata toka kwa wazazi wake....
 
Nadhani watu kama ninyi kuna element ya wivu inawanyemelea. Joyce mwenyewe anakiri ameanza maisha katika hali duni sana hata aliwahi kuwa house girl. Amejitambua ,amejiendeleza na amebadili maisha yake. Na sasa ana inspire wanawake wengine katika ujasiliamali kujitambua na kupigania haki yake.Aliwahi kujaribu kuongea sentensi kadhaa za kiingereza na kusema iko siku atakuwa hodari wa lugha hiyo adhimu na kukiri kuwa bado anajifunza. Sasa mtu aliyekuwa housegirl, leo ni activist mkubwa katika jamii yetu, kama kuna mahali anakosea mshaurini sio kumtuhumu na kukejeli eti hana elimu.Elimu haina mwisho achene WIIIIIIIVUUUUU. Joyce kwa historia yake anafanya makubwa!! Big up my Seper Woman!!
jamaa ukweli sina wivu.... sina wivu!
 
ulivyoanza nikajua unamsifia mana naww ungepotezA audience..:A S crown-1:
 
Mada in nzuri lkn mtoa mada na wachangiaji wengi mnaweka pia chuki zenu binafsi kwa huyo dada. Mbona hausemi siku alivyomchachavya mwanamke mwenzake aliyekuwa anamtumikisha kazi mtoto aliyekuwa anastahili kusoma s/msingi?
 
Maadui wanaosumbua Tzeee ni Wivu,Chuki na Majungu........Eishhhh
 
Mimi nashauri hadhira yake hasa wanawake wachambue mchele na pumba katika hiki kipindi,otherwise wakati wa ku face consequences kila mwanamke ataumia kivyake usifikiri atakuja kuokoa ndoa yako,mwenyewe ana regretion
 
Mleta uzi nakushukuru sana. Nitachanganya na za kwangu, nitafanya maboresho kwa ushauri nilioupata hapa. Huu ni mwaka wa Kibali Kikubwa sana kwangu na Taifa langu... kupata ushauri mwingi kutoka hapa Jf ndo Kibali namba 1.
nafikiri hilo pekee yake linatosha sana nia ya mleta uzi haikuwa mbaya kikubwa ni kuangalia wapi umekosea na urekebishe vipi sisi bianadamu sio malaika achana na habari za sijui imekula kwako, ndoa 1000000000000 mara fyuuuuuuuu........
hazijengi zaidi ya kubomoa hujiui msimu huu wa sikukuu wanafunzi wako likizo na hata madaktari wa milembe sanjari na vichaa ukiwaendekeza utapoteza muda wako bure kubishana na watu waliokosa dira na mwelekeo
 
MSHAURINI NINI AFANYE NA NINI ASIFANYE ILI KUBORESHA..majugu na fitna sidhani kama zinasadia sana na hii ni meseji kwamba ujumbe umefikaaaaaaaaa ..............! ......message sent and derivered!!ETI HAJASOMA bongo kuna wasomi?hao wanaoiba mitihani mpaka vyuo?haya akina Mange kimambi si wamesoma wale unataka kusema nini?mwacheni ALALE!!
 
Mods naomba mkanibadilishie iwe Joyce Kiwia na sio Joyce Kiria; Samahani wanaJF

Dada kweli ulikuwa na lengo zuri wewe mbona tena umekosea wewe ulimlenga joyce kiria tene unachanganya madesa unakosea tena eti kiwia ndo ulimlenga(KWANZA SIJUI NDO NANI HAPA TZ HUYO JOYCE KIWIA ) ama kweli Mungu amekuumbua mchana kweupe!Tuachie JOYCE KIRIA WETU!
 
ndio tatizo lenu wanawake..

1.waoga yaani hawajiamini kama wanaweza
2.hawapendi wanachukia bila sababu zozote

ukiangalia kipindi cha Joyce toka alivyoanza mpaka leo amepiga hatua mno na kusaidia wanawake wengi na watoto wengi mno ila kwa kuwa ampendani mnaona bora umuangalie wema anavyorukanwa matuc ya nguoni na rado kwenye my shoes au komando jide anavyojicfia kwenye diary
 
Huyu dada n opportunist balaa....mabinti msimsikilize .... mkimfuata ndoa zitawashinda kama zinavyomshinda...ukiona mtu anajisifia kwa kuachika na kuolewa Jiulize malambili...am sory jaman nilisahau kua elim yake imeelemewa na atakacho kufanya...tumvumilie tu

Mkuu unataka ku2shawsh kuwa joyce kiria yupo negatv daily? Pia alozungumzia suala la elimu yake swal n je wasomi wa tz c ndio wale waua nch hii, eb mcihesab makoxa 2 mpongezen pia kwa kaz kubwa na nzur afanyayo...
 
hapo hata timu nzima ya menejimenti inawajibika
Pia hiki kipindi huwa hakifuati sheria na maadili ya habari!! Kuonesha sura ya mwanamke au mtoto aliyenyanyasika kijinsia si sawa, kuna mama mmoja alibakwa alikuwa anahojiwa na Joyce bila hata kuficha sura, kuna yule aliyekatwa mkono na mumewe pia vivyo hivyo!! Lakini kubwa zaidi kuna siku alikuwa anakahoji katoto ka kike kamenyanyaswa kijinsia wazi wazi bila kumficha sura wala nini.

Sijajua kama yupo juu ya sheria au?? Na TCRA unawatumia taarifa wala hakuna action yoyote inayochukuliwa!! Ngoja tuone mwisho wake kama kitakuwa na matokeo mazuri kwa jamii kama anvyofikiria!!
 
vichwa vya wanawake 100 wenye masters ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza darasa la saba...vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza kidato cha nne.....vichwa 100000 vya wanawake waliomaliza elimu ya msingi ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume anayesoma chekechea...
 
Duh, hiii akiiona Joyce Kiria lazima iwe mada wanawake live.
 
Bora huyu aliyeishia darasa la saba lakini ana upeo na anajitahidi mno kuisaidia jamii yake kuliko yule mwenye PhD wa DUCE anayeisaliti jamii yake kwa laki mbili.
 
Kijana Juzi
Sasa hapa wa kumlaumu ni Joyce Kiriya au TCRA?? Jamani tujifunze sana kuyapeleka malalamiko pale ipasapo. Wengine mnaanza kuuliza kiwango chake cha elimu nk hivi tujiulize je inahitaji digirii ya Masters ili kuwa Presenter kwenye TV?? Vitu vingine jamani tusiwe Biased hivyo.
Let us hope that anachokifanya kitawafanya wengine wabadilike haraka.

Kwangu mimi sikuona ni nani nimtupie jiwe na ndiyo maana nimewagusa wote, Kiria na TCRA!! Mwendesha kipindi analo kosa alilolifanya kwa kutoa kipindi chenye kukiuka sheria/maadili na pia msimamizi (TCRA) ana kosa kwa kutokumuwajibisha aliyetenda kosa.

Lakini sheria na taratibu za TCRA zinasema unapokuwa na malalamiko na habari yoyote, anza kwanza kwa aliyetoa habari, uende kwa mhariri wake, mmiliki wa chombo husika then ndiyo uende TCRA kama bado maamuzi hayajakuridhisha kwote huko! Je kwa mtizamo wako unadhani nani wa kulaumiwa hapo???

Sijagusa swala la elimu please, I know! I know kuwa elimu si kigezo cha kumfanya mtu awe presenter mzuri!! Ila nikupe kanuni moja uwe unasafiri nayo kila siku, 'Ukiona unakosolewa jua unafanya jambo zuri, maoni mazuri yabebe mabaya tupa kule sababu wenye wivu siku zote huvaa mwamvuli wa wakosoaji'
 
vichwa vya wanawake 100 wenye masters ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza darasa la saba...vichwa vya wanawake 100 wenye pHD ni sawa kichwa kimoja cha mtoto wa kiume aliyemaliza kidato cha nne.....vichwa 100000 vya wanawake waliomaliza elimu ya msingi ni sawa na kichwa kimoja cha mtoto wa kiume anayesoma chekechea...

Ohooooo......!!! Unataka wana harakati watuvamie humu!!!!
 
Back
Top Bottom