deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 931
- 503
Believe me, huyo dada ni akili ndogo,ni nafasi tu katika maisha kama ilivyo kwa kina josephine mushumbuzi!!
umekuja na mlengo wa siasa zaidi wakati hapa ishu ni yakijamii.. nirud kwenye mada, huyu dada anajitahd sana kuendesha kipind kutokana na elimu yake pamoja na wajibu wake kwenye kipindi sababu niliwah sikia kuwa anaelim ya darasa la saba japo sina uhakika kama alijiendeleza au laah.. lakini pale anakutana na changamoto nyingi ambzo ni rahis kumpelekea akapanic tokana na hali anayoikuta kwa mwanamke mwenzie, la msing ni aweze kumudu tempa yake katika mazingra ya aina yoyote atakayokutana na hii itamsaidia kuhepusha hata hayo maneno makal.. lakin tukisema eti kiendeshwe na mwanamke mwenye shule, sijui uelewa wa hali ya juu ni uongo kwani kuna vipind vingap vnaendeshwa na watu wa aina hyo ila hakuna tunachojifunza? kwenye swala la maisha kuna ujuz na uelewa sasa unatakiwa kutambua kuendesha vipind km vle vinataka uelewa wa matatzo ya jamii husika na uelewa na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku uko mtaani na sio kwenye lecture hall.. yule dada anapozunguka sn ndio anakutana na maisha halis ya mwanamke tofaut na alie kwenye lecture hall lakin elimu inakuja kwenye kurahisisha wakat wa utatuz wa tatzo na sio kwenye presentation ya kipindi.