Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

Hivi kuna watu wenye akili timamu wanasikiliza hii radio kweli???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ni muhimu kusikiliza kila mtu, hata kama ni mjinga. Ni bora kujua hata huo ujinga wake, utajuaje kama ni ujinga kama haujausikia?
 
Kipindi cha mkapa ilikuwepo na haikufungiwa,inshu hapa vitu wanavyoongea kwenye hii radio vinaushahidi ndio maana wanashindwa kuifungia

mi nashangazwa na wanaoipinga hii radio, wanadai inakashifu na kutukana.

Baraza la habari lipo, mahakama zipo, kwanini wasiende kuishitaki?
 
Katika hao wanaojadili mada huko radioni, kuna walau mmoja mwenye dalili ya kuwa na akili?
 
Kuna wajinga kama wewe ambao Huwa wanasikiliza kinyume inaonyesha unaipenda sana mpaka unatuhamasisha
 
Kmsingi hawakosei kisheria kuna uhuru wa habari ila tatizo lipo kwa msikilizaji anachanganuaje hzo habari anazockilza
 
Wakimaliza waende vituo vya tuition wapate na elimu dunia japo ni wazee kuna MEMKWA ili iwasaidie kupambanua mambo maana ujinga ni mzigo unaowaelemea.

Ujinga mzigo kuutua kazi!
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali
 
Watakuwa wametumwa tu, Acha wafanye vile wametumwa, Inabidi waislamu watafutiwe nchi yao wakaishi kuko peke yao sisi hatuwawezi. Wameanza kuchoma makanisa, sasa wanamchambua Nyerere, nadhani kwakuwa alikuwa Mkristo. Kwa Karume hawawezi kumchambua.

Uchomaji wa Makanisa

Waislamu wanajua maisha gani ya kimungu wanaishi, sio kwamba hawajitambui, inatakiwa wabadili misimamo ambayo ni kero kwa kondoo wenzao. Misimamo walio nayo totaly wanamwabudu mtume badala ya Mungu kwa mujibu wa maana ya Biblia na hata Misaafu yao. Sijajua "peponi" ni ipi ambayo inawafaa waislamu.

Na hizo kurani zao zimekojolewa basi na wao wakojolee biblia, wakichomewa wao unadhani itakuwaje! Tumekojolea Kurani na sasa tutakojolea Mtume wao ili wajue kuwa na sisi vita tunajua.

no no no bro hii haijakaa vizuri sana kumbuka silence is the best answer kwa mpumbavu!
 
Mimi hapa hata siipati.nawashangaa tu mnavyokoromeana.
Kuna uhuru wa maoni,hao imani wanao uhuru wa maoni.kama wanachosema kinawaume si unaipotezea.kwanini ujenge chuki kama kwamba unalazimishwa kusikiliza.
Nyerere(RIP)hakua mungu wala mtume.iweje leo watu wanapomsema na pengine na ushahidi juu wewe uanze kudhihaki dini ya mwenzako?.
Halafu bado unasema eti umesoma...WAPI?.
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali

upuuzi mtupu
 
Hii yote inaletwa na MEMORUNDUM OF UNDERSTANDING,Kati ya kanisa na serikali.ipo haja serikali itoe ufanunuzi wa kina kuhusu issue hiyo.hapo ndo ulipo mzizi wa fitina.
 
Hivi kuna watu wenye akili timamu wanasikiliza hii radio kweli???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Unataka kusema wewe usiyesikiliza ndio una akili timamu zaidi? Ishu ni kitu gani wanazungumza maana kuna Radio zingine miziki kwa kwenda mbele, kama wanazungumza mambo ya kweli yapingwe kwa hoja sio jaziba haitosaidia.
 
Back
Top Bottom