Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

Hivi kuna watu wenye akili timamu wanasikiliza hii radio kweli???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ndio tunasikiliza.

View attachment 68143

Tukishatoka hapa ni kulala tu kwenye mkeka tukiburdika na Radio Imanu, ikitangaza katika masafa ya FM moja kwa moja kutoka AHERA.

Kesho kutakuwa na mada ya kukafini maiti ya mwanamke mjane.
-Kwa wale msiojua matumizi ya maji yaliyooshewa maiti msikose kusikiliza kipindi hiki adhimu. Sikiliza ukiwa na udi pembeni ndio utaelewa, karibuni.
 
Wewe toa kashafa tu lakini ukweli umeshaanikwa kuhusu huyo jamaa yenu kwa hoja na ushahidi. Kama wewe ndo unjiona msomi basi Tz tuna kazi kubwa ya kufanya.
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali

Hayo maongo. Sisi Wakatoliki wala hatunaga kawaida ya kuhubiri nje ya kanisa kwa makelele. Walokole ndio wanaowatesa kwani humtamka Yesu kwa nguvu kiasi washkaji majini yao yanatimka mbio.

Kuna baadhi ya maombi yakifanywa, kana una busha lisilotambulika hospitali ujue umekwisha.
 
Wewe toa kashafa tu lakini ukweli umeshaanikwa kuhusu huyo jamaa yenu kwa hoja na ushahidi. Kama wewe ndo unjiona msomi basi Tz tuna kazi kubwa ya kufanya.

Hivi unadhani mtu kama Dr.Twalin Ngoma anao muda wa kusikiliza Radio Imanu?

Njaa ndio msingi wa vikundi vya namna yenu, hamna kazi za kufanya. Mmecheza bao mpaka makalio yameuma sasa kazi pekee mnayoweza kufanya wima ni kuandamana kwa kesi za watoto.
 
Kwani huyo aliyetumwa kukojolea hicho kitabu hajakashifu?

Kwahiyo na wewe unameza kama kidonge hizo pumba? Utajuaje huyo anayejiita mkristo ni mkristo kweli au ni wale wanywa viroba waliochoma makanisa?
Hii inanikumbushia mihadhara yenu ya kukashifu mnayowaalikaga wachungaji feki. Ni watu wa chini sana nyinyi!


Au unapozungumzia kukashifu unamaana gani mkuu?
 
mi nashangazwa na wanaoipinga hii radio, wanadai inakashifu na kutukana.

Baraza la habari lipo, mahakama zipo, kwanini wasiende kuishitaki?

waliozingira kituo cha polisi mbagala hawajui kuwa kuna utawala wa sheria?!, walio ua nguruwe na kuku huko tunduru hawajui kama kuna mamlaka?!, waliovunja ukuta wa plot ya manji hawajui kama kuna baraza la ardhi au mahakama?!, poor, you. A true image of al-madrasatul up bringing.
 
Unataka kusema wewe usiyesikiliza ndio una akili timamu zaidi? Ishu ni kitu gani wanazungumza maana kuna Radio zingine miziki kwa kwenda mbele, kama wanazungumza mambo ya kweli yapingwe kwa hoja sio jaziba haitosaidia.

Myanguneni kuna vitu vya kupingwa kwa hoja.. Sasa kuna point gani wanayozungumza hao wachochezi ambayo inatikwa kupingwa kwa hoja
 
Last edited by a moderator:
Unataka kusema wewe usiyesikiliza ndio una akili timamu zaidi? Ishu ni kitu gani wanazungumza maana kuna Radio zingine miziki kwa kwenda mbele, kama wanazungumza mambo ya kweli yapingwe kwa hoja sio jaziba haitosaidia.

Myanguneni kuna vitu vya kupingwa kwa hoja.. Sasa kuna point gani wanayozungumza hao wachochezi ambayo inatikwa kupingwa kwa hoja
 
Last edited by a moderator:
Mafunzi ya chuki aliyopewa na walimu wake wa dini na wazazi wake dhini ya uislamu ndiyo yamesababisha machafuko na ghasia za jana.

Kwa hiyo na nyinyi ndio mkaonesha mfano wa upendo wa kwa kuvunja makanisa? Wahuni wakubwa nyie

Tungekuwa tunafundishwa chuki dhidi ya Uislamu usingeona mnakanyaga kwenye hospitali zetu wala vituo vya mayatima. Upendo ndio sala zetu na utu wema kwetu ni tunu.

Riots ni lugha ya mtu mpumbavu asiye na elimu. Hata kuamini kuwa mtoto yule katumwa ni sehemu ya ubongo zuzu. Kama alitumwa kanisani, mbona basi mkavunja makanisa ya madhehebu mbalimbali? Au yule mtoto ametumwa na baraza la makanisa basi.

Mimi naamini, kama mngekuwa na akili angalau kidogo mngeitazama jamii yenu kabla ya kukurupuka na vurugu. Nikukumbushe kuwa hata Sheikh Mkuu wa mkoa ameshitushwa na upumbavu ule.
 
mbona kukojolea msaafu hauwi nyoka,wala mjusi wala chizi...na yeye alikuwa anataka ushahidi...
Na bwana mdogo aliyekojolea,mzima buheri wa afya...
Nyinyi kweli akili hamna hata...
Bure kabisa
ukikojolea msahafu kafiri wewe tunachoma kanisa kama unabisha jaribu uone?
 
Mbona radio hii haifungiwi? Hivi radio ya kikristo ikiwa na nusu tu ya mwenendo wa namna hii, si wangeshafungiwa mapema sana?

Ina maana mwanahalisi walikuwa wanahatarisha amani zaidi ya radio hii?
 
hivi mtu unaweza mlazisha aamini asichokiamini kama vile vitabu vya kutia watu Uchizi? Uchwara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom