Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

ina wasikilizaji kibao, kuna nyumba nilikuwa nimepanga bac early in the mornie jiran m1 anafungua tena full imagine saa 11 alfajir soon nikahama!
 
Hii picha inanichekeshaga sana nikiiona yaani hawa watu kwa ubwabwa ni balaa..

Angepatikana mjuvi mmoja akaikuza hiyo picha, hakika ungemuona Sheikh Bassalleh (yule mpinga MoU) akimendea ubeche.

Ubwabwa ni sunnat, Marehemu alijikunaga majasho yake, yale maviringo ya jasho yakageuka ubwabwa. Lazima tuupende kwa kuwa ndio muujiza wa maana marehemu alifanya hapa duniani.
 
ina wasikilizaji kibao, kuna nyumba nilikuwa nimepanga bac early in the mornie jiran m1 anafungua tena full imagine saa 11 alfajir soon nikahama!

Usitoe ushindi kwa mapepo kiurahisi namna hiyo, next time uni-PM nije na vijana wa Charismatic tuje tuombe pamoja humo chumbani kwako halafu uone nani kati yenu angehama.
 
Kuna tamasha la sikukuu ya eid lhaji limeandliwa na radio imani mtaona umati unaosikiliza redio imani
Hivi kusanyiko la wajinga nalo unaweza kuita ni umati? subilini mitihani ya Form 4 iishe halafu ngojeni wakati wa kutangazwa matokeo ndio mtajijuwa kama nyinyi mlipaswa mtafutiwe nchi yenu mkae wajinga watupu.
 
Kuna tamasha la sikukuu ya eid lhaji limeandliwa na radio imani mtaona umati unaosikiliza redio imani

Ni kweli wengi mtasikiliza, lkn lengo si jingine zaidi ya hili pichani hapo chini

View attachment 68179

Matumaini ni kwamba mwisho wa kipindi kuna mwarabu atatangaza upatikanaji wa ubeche kwenye kaya yake. Bila shaka mtasikiliza mkiwa tayari mmeshajiandaa na vifaa muhimu kwa kazi yenu adhimu

ndizi mbivu.jpg bila kusahau hot_red_pepper_lg.jpg

Sunnat ahly. Mwenye busara hushona kanzu yenye mifuko mirefu
 

Attachments

  • UBWABWA 12.JPG
    UBWABWA 12.JPG
    73.6 KB · Views: 37
kipiindi kimeanza live wanaanza kumchambua mwalim nyerere

Halafu unajua hiki nacho kituko! Vilaza wanaweza kweli kumchambua Philosopher?

Wenzenu wakikaa wanajadili falsafa zake na kuzifanyia kazi, nyie mnajadili nguo zake. Mmoja wenu aliwahi kusema kuwa Suruali ya kwanza kabis kuvaliwa na Nyerere ilinunuliwa na waislamu
 
Kibira Films - Bishop Kibira


6_IMG_5217.jpg

3_IMG_3.jpg


mbwawa.jpg


Tumaini Iringa

Africa_TumainiUniversity.jpg


Tumaini KCMC

kcmc.jpg


Tumaini- Makumira

Tumaini2.JPG


Tumaini- Sekuco

179876_195946563750970_195946403750986_761061_1547071_n.jpg


291959_284979764847649_195946403750986_1209333_1435048642_a.jpg


Tumaini- Stefano Moshi

image_enviro.jpg




MKUU WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA,ANAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUFUNGULIWA RASMI KWA TAWI JIPYA CHA CHUO HICHO UYOLE JIJINI MBEYA, AMBACHO AWALI KILIJULIKANA KAMA CHUO CHA UALIMU CHA KILUTHERI MBEYA.


HIVYO MKUU WA CHUO CHA TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA MBEYA CENTRE, ANAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO YA SHAHADA YA UALIMU AMBAYO NI BACHELOR OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION KWA MWAKA WA MASOMO 2012/2013.


CHUO KIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMEA, MAKTABA YA KISASA, MTANDAO WA INTERNET NA WALIMU WENYE UZOEFU, HUDUMA YA AFYA INATOLEWA KATIKA ZAHANATI YA CHUO HICHO YENYE VIFAA VYA KISASA NA INATOA MATIBABU KWA WANAFUNZI PAMOJA NA JAMII INAYOWAZUNGUKA, PIA WALE AMBAO NI WANACHAMA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA (NHIF) WATAPATA HUDUMA HIYO.


TUNAWAKARIBISHA WOTE KUJIUNGA NA WALE WANAOPENDA KUHAMIA KATIKA CHUO, WAFIKE KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO UYOLE ENEO LA NSALAGA BARABARA KUU IENDAYO DAR ES SALAAM KARIBU NA KITUO CHA MAFUTA CHA LAKE OIL ILI WAWEZE KUJISAJILI NA KUPATA MAELEZO ZAIDI AU WATUME MAOMBI PAMOJA NA VYETI VYAO KWENYE BARUA PEPE IFUATAYO:-tumashuco2012@gmail.com.


MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 27/10/2012.UDAHILI UNAFANYIKA SASA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU ZIFUATAZO:-
0753 817 274, 0754 206 860, 0655 858 527


TAFADHALI UKISIKIA AU KUONA TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWENZIO.

The Proporsed Tumaini University- Njombe

[h=2]Njombe kuwa na Chuo Kikuu[/h]6 OCTOBER 2010 786 VIEWS ONE COMMENT



chuo-chaa-njombe-476x332.jpg
Ramani ya majengo ya chuo kikuu cha Njombe

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom