Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

aaaaah!!!,waabudio majini wanachekesha sana,hata wakienda shule huoni tofauti yao na wasiokwenda shule,teh teh teh teh
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali

Is it? Interesting twist of events.
 
Kipindi cha mkapa ilikuwepo na haikufungiwa,inshu hapa vitu wanavyoongea kwenye hii radio vinaushahidi ndio maana wanashindwa kuifungia

Kama kumbukumbu zako zinafanya kazi hivi na zinafanana na wasikilizaji wengine wa hiyo radio (especially waumini wa kuwepo mfumo fulani fikirika) then no wonder mnaamini kuwa shule na hospitali zinazomilikiwa na makanisa na zilizojengwa kabla ya uhuru zimejengwa kutokana na MoU ya 1992!
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali

Hao waliopiga simu - kama kweli wapo- basi ni wale wa aina ya "mchungaji" wa cuf!
 
Kipindi cha mkapa ilikuwepo na haikufungiwa,inshu hapa vitu wanavyoongea kwenye hii radio vinaushahidi ndio maana wanashindwa kuifungia

mbona kukojolea msaafu hauwi nyoka,wala mjusi wala chizi...na yeye alikuwa anataka ushahidi...
Na bwana mdogo aliyekojolea,mzima buheri wa Afya...
Nyinyi kweli Akili hamna hata...
Bure kabisa
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali

hakuna wakristo na wakatoliki...
Sawa...?!
Unasema sawa thn naendelea kukupanga wazee wa vipedo..
 
ujinga unawauma hawa,Wana Takibiro hamjambeee?sheikh pondo anawapa mapepo na kuwachanganya sana, mtaishia kubaya, jamani vichwa ni kwa ajili ya akili sio vya kufugia nywele na kufungia vilemba, acheni kukurupuka kama nyati,
 
Mimi hapa hata siipati.nawashangaa tu mnavyokoromeana.
Kuna uhuru wa maoni,hao imani wanao uhuru wa maoni.kama wanachosema kinawaume si unaipotezea.kwanini ujenge chuki kama kwamba unalazimishwa kusikiliza.
Nyerere(RIP)hakua mungu wala mtume.iweje leo watu wanapomsema na pengine na ushahidi juu wewe uanze kudhihaki dini ya mwenzako?.
Halafu bado unasema eti umesoma...WAPI?.

Uhuru wa kuzungumza unamipaka wewe...!!
Sio unaongea,ongea tu kisa una mdomo..
Ujui ya kuwa kuna wakati kwa vinywa yetu 2memkosea Mungu....
Sasa kama uko tayari kwa ajili ya shule,reply hii nikufundishe..
 
ujinga unawauma hawa,Wana Takibiro hamjambeee?sheikh pondo anawapa mapepo na kuwachanganya sana, mtaishia kubaya, jamani vichwa ni kwa ajili ya akili sio vya kufugia nywele na kufungia vilemba, acheni kukurupuka kama nyati,

mim ndo siishagi washangaa hawa watu...
Et kweli mtu mzima na akili zako,ukavae kanguo kananinginia..!?
Et, sababu kasishike uchafu...!!sasa sabuni za kazi gani madukani..
Na kama kweli kuvaa nguo ambayo aigusi kisigino hata ukivaa mlegezo ndo usafi...
Mbona mim sijawai kumwona hata mmoja wao smat kidogo, ndo wachafu kitu wavaa vipedo..
Ha,ha,ha...
Wavaa vipendo hao..
Andamaneni tena sasa..
 
wengi wanailalamikia hiyo redio, wote wapenda amani ya kweli waislam na wakristo hawashabikii uchochezi uletao maafa!!!
 
Hebu naomba frequency za hako karedio mkuu na mm nipate cha kuchangia

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
sio karedio sema REDIO IMANI ELIMU BILA MIPAKA 104.4 makao makuu moro kwenye milima ya waruguru tak bir
 
Ubaguzi wa dini ni kitu kibaya na hatari tena ni kifo. tanazania ni nchi ya watanzania haiwezi kuwa ya kiislamu au kikristo. hakuna uwezekano kuiondoa dini moja na nyingine ikabaki. ni wapumbavu tu wanaowza kufikiri hivo. kuleta chuki ya kidini ni jitihada ya kuanzisha mapambano kati ya dini hizi kuu mbili. yakianza mapambano hakuna atakayeshinda au kusalimika.
wakristo na waislamu wa Tanzania ni marafiki na ndugu hadi tunaoleana tnafanya karamu pamoja tunanunuliana na kuuziana. TATIZO NI VIONGOZI WACHACHE WA KIDINI AMBAO BONGO ZAO ZIMEJAA KUTU NA ROHO ZAO ZIMEJAA UOVU. hawa wanawahamasiha waumini wao wajenge chuki zisizo na kichwa wala miguu. Fanya kazi utapata kulingana na jasho lako.nani amenyimwa kufanya kazi, kufanya biashara, kusafiri, kusoma, kujenga kulima, kununua shamba au nyumba n.k. kwa sababu ya dini yake? Viongozi wa dini angalieni msitupoteze hapa duniani na mbinguni. nasi waumini ni vizuri tukawa makini na hawa vibwetere wa dini.
 
kuna wakiristo wanapiga simu redio imani wanasema wanaomba wao wasichanganywe na wakatoliki maana kuna wakatoliki na wakiristo wengine wanasema wakatoliki ndio wanamiliki serikali na wengine ndio wanaumia kwa hio wanakubalali kuwa kanisa katoliki ndilo linatesa waisilamu hilo wanalikubali
Kwahiyo na wewe unameza kama kidonge hizo pumba? Utajuaje huyo anayejiita mkristo ni mkristo kweli au ni wale wanywa viroba waliochoma makanisa?
Hii inanikumbushia mihadhara yenu ya kukashifu mnayowaalikaga wachungaji feki. Ni watu wa chini sana nyinyi!
 
Hivi Jf imekuwa ni ya kuijadili Redio Imaan tuuuu!! Wanajopo wameshafanya uchambuzi wao nawewe Pinga kwa hoja sio kukimbilia kusema Redio Ifungwe. Kama mtu kutoa maoni yake yanayotofautiana na mtazamo wako ni kuchochea basi hata wewe unachochea kwa mtazamo wangu. Kipindi cha huyo unayeona ni mtakatifu hata wewe usingekuwa na nafasi ya kutoa maoni yako kama unavyofanya sasa, mara ngapi watu kupitia jf wanaikashifu serikali iliyopo madarakani kwa uhuru je Jf ifungiwe????? acha uchochezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom