Kwenye michezo efm kashapigwa chini teyali.Daaah block sikuwahi kukielewa kamwe zaidi ya kuona wanapiga kelele tu tena wale mademu ndio balaa kuna mmoja anaongea sana mpaka anachapia......bora hakipo kilikua kero tu.....
Mimi nataka kile kipindi chao cha michezo kiwekwe muda sawa na cha efm tuone iyo battle ya listerners wataegemea wapi
Sent using Jamii Forums mobile app