Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Nikuulize Aaliyah ulimjulia wapi Before ya kuajiriwa na Wasafi?Maulidi kitenge alikuwa anamdisi Sana diamond kiasi ambacho akajenga uadui na fans wa diamond mbona diamond kamuajiri.George ambangile aliona sehemu gani kampost diamond mbona diamond kamuajiri? Salma Dakota uliona wapi kampost diamond mbona diamond kamuajiri?

Na Juma Lokole,Dida,Lilian Mwasha nao wakapewa kazi wasafi sababu walikua wakiperform vzr sana mitandaoni sio,hahah.

Kusaga anawacheki tu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
[emoji3]

[emoji3] Ngoja nianze namimi

Hahah anzisha tu Page yako mkuu then anza:

Kumsifia Diamond kua ndie msanii mwenye mpunga Afrika nzima,akivaaga nguo 1 harudii mwaka mzima,msifie sana mama yake huku ukimwambia yaani una lishepu kama lote kichuna changu,huku ukiwa tayari kupambana na wanaompinga Diamond popote pale from Insta,fb,Jf na usisahau kuwaponda sana ma-ex wa Diamond.

Then ndani ya muda mfupi tu,tutasikia Dj. Yna2 ndani ya mjengo bango kubwa mzee wangu bango linawaka taa sijui nini.

Usitusahau tu mkuu.
 
Content ya kipindi ndiyo ina tatizo kubwa.

Yani kipindi kipo usiku muda ambao watu wazima wapo nyumbanj wanafatilia alafu wamejaa wahuni na maneno yasiyoeleweka sijui bango linawaka sijui linaungua.

Hahah daah bango kubwa sana mzee wangu,bango linawaka taa kama za X-Mas yaani inshort bango ni kubwa kuliko,hivyo yaani.

Hahah yaani inshort sijawahi kuelewa wanachokisema.
 
Na Juma Lokole,Dida,Lilian Mwasha nao wakapewa kazi wasafi sababu walikua wakiperform vzr sana mitandaoni sio,hahah.

Kusaga anawacheki tu anasema hiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hoja yako umesema wote walioajiriwa kwasababu ya kumsifia diamond Sana mitandaoni ndo nikajenga hoja hiyo.
 
Unadhani hata nafatilia basi, ni vile tu kipindi Kobe amefariki nilikuwa nasikiliza vipindi vingi kumhusu.

Wasafi FM huwa nasikiliza michezo nikipata muda kwa sababu ya George Ambangile.
Niliangalia kipindi kimoja cha wasafi TV sijui kinaitwaje,ni kama wanakua wanahadithia hivi wakawa wana hadithia historia ya Bruce Lee aisee mle ndani kuna fix za hatariiii.

Ila mwisho wa siku nilijiona mi mwenyewe ndio fala maana vipindi kama hivyo viko kuwasaidia machalii wa bodaboda,masela wa vijiweni,madereva wa kirikuu/haice kujua story za watu maarufu na hakikua dedicated kwa watu wanaoweza kusoma biograph/ku-search sehemu mbalimbali mitandaoni
 
Wewe subiri uongozi wao wataongea ila kilichobugi kwenye kipindi hiki ni kumweka mtu imara yule jamaa hamna kitu hajui kuuliza maswali sijui walitumia kigezo gani kumuajiri? kipindi kilitakiwa wabaki jonijo na Aaliyah basi ndo wapo vizuri.
Naked truth. Mtu Imara hana tofauti na dogo mmoja alikuwa na Salama Jabiri kwenye kipindi cha mkasi a.k.a Muba
 
Hahah anzisha tu Page yako mkuu then anza:

Kumsifia Diamond kua ndie msanii mwenye mpunga Afrika nzima,akivaaga nguo 1 harudii mwaka mzima,msifie sana mama yake huku ukimwambia yaani una lishepu kama lote kichuna changu,huku ukiwa tayari kupambana na wanaompinga Diamond popote pale from Insta,fb,Jf na usisahau kuwaponda sana ma-ex wa Diamond.

Then ndani ya muda mfupi tu,tutasikia Dj. Yna2 ndani ya mjengo bango kubwa mzee wangu bango linawaka taa sijui nini.

Usitusahau tu mkuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Umetisha mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Content ya kipindi ndiyo ina tatizo kubwa.

Yani kipindi kipo usiku muda ambao watu wazima wapo nyumbanj wanafatilia alafu wamejaa wahuni na maneno yasiyoeleweka sijui bango linawaka sijui linaungua.
Utakuwa wewe upo aged Nini? point yako Ingekuwa na nguvu kama wasafi media isingekuwa media ya entertainment so sizani Kama wazee wanaifuatilia.
 
Naked truth. Mtu Imara hana tofauti na dogo mmoja alikuwa na Salama Jabiri kwenye kipindi cha mkasi a.k.a Muba

Hahah Muba sijui alipotelea wapi au itakua ameamua kukomaa na Pedicure/Manicure huko saluni.

Jamaa alikuaga bingwa wa kuuliza vi-maswali visivyo na kichwa wala miguu.
 
Niliangalia kipindi kimoja cha wasafi TV sijui kinaitwaje,ni kama wanakua wanahadithia hivi wakawa wana hadithia historia ya Bruce Lee aisee mle ndani kuna fix za hatariiii.

Ila mwisho wa siku nilijiona mi mwenyewe ndio fala maana vipindi kama hivyo viko kuwasaidia machalii wa bodaboda,masela wa vijiweni,madereva wa kirikuu/haice kujua story za watu maarufu na hakikua dedicated kwa watu wanaoweza kusoma biograph/ku-search sehemu mbalimbali mitandaoni

Sure, mimi niliwasamehe tu. Maana kuna vitu waliongea hadi nikawa naona hawamtendei haki Legend Kobe.

Sijawahi tena kuwasikiliza hata kwa bahati mbaya.
 
Naked truth. Mtu Imara hana tofauti na dogo mmoja alikuwa na Salama Jabiri kwenye kipindi cha mkasi a.k.a Muba
Mtu imara ana bahati nzuri Sana anakula mshahara wa bure pale Wasafi pia jamaa anagiza tamthiliya moja kwenye kipindi Cha maisha bongo ndani ya DStv nimemcheki hata kuigiza kwenyewe Napo hajui sijui Napo walimuonaje mpaka wakampa tamthiliya aigize.Jamaa ana bahati Sana kwenye maisha yake yakupata nafasi asiyostahili.
 
Atakuwa wa kishua tu. Zao ni zile, DAD PLZ, TALK TO KUSAGA PLZ, U KNOW I CAN DO THIS.
 
Ingekuwa ni kusaga Kaz hana ila kwasababu ni diamond ndo maana Hadi sasa yupo sawa na Juma lokole
 
Back
Top Bottom