Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Na EATV/Radio walimuajiri nani baada ya kumsifu Mengi/Regina?
Zembwela aliajiriwa pale East Africa akiwa ajasomea taaluma ya utangazaji kuna pia anaitwa Tbway hapo East Africa nae hajasomea utangazaji pamoja na Suzi.
 
Kaharibuje mambo?

Hicho kipindi kuna siku nilikisikia wakiwa wanazyngumzia kifo cha Kobe Bryant, full uwongo.

Hata hawajajiandaa, wanaongea vitu vya ajabu.
Unazungumziaje role ya mtu imara kwenye block 89?Me naona yule jamaa ana kula mshahara wa bure tu pale Wasafi
 
Mzee baba Kuna watu dunia hii wanabahati ile mbaya Jamaa kaziba ridhiki ya mtu anayestahili Hana tofauti na wafoji vyeti unakuta mtu unapata ajira kumbe una cheti feki yule mwenye cheti halali anakosa ajira.Jamaa anakula mshahara wa bure aisee.
Uko na vyeti kibaoo huna Ujuzi.Mwenye ujuzi anaingia stationary anatengeneza cheti anatoboa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zembwela aliajiriwa pale East Africa akiwa ajasomea taaluma ya utangazaji kuna pia anaitwa Tbway hapo East Africa nae hajasomea utangazaji pamoja na Suzi.
Suzi ndiye yule mwenye mshedede? Anakuwaga na Sammisago?
 
Wewe subiri uongozi wao wataongea ila kilichobugi kwenye kipindi hiki ni kumweka mtu imara yule jamaa hamna kitu hajui kuuliza maswali sijui walitumia kigezo gani kumuajiri? kipindi kilitakiwa wabaki jonijo na Aaliyah basi ndo wapo vizuri.
Wote mule ndani walikua wanafanya kama huyo mtu imara anavyofanya ndiyo maana kipindi kizima kimesimamishwa na sio huyo mtu imara pekee aliyesimamishwa.
 
Waliajiriwa sababu walikua wanashinda wanawapost maboss wa Media hio mitandaoni na kuwasifia sifia?

That's a million-dollar question.
Nikuulize Aaliyah ulimjulia wapi Before ya kuajiriwa na Wasafi?Maulidi kitenge alikuwa anamdisi Sana diamond kiasi ambacho akajenga uadui na fans wa diamond mbona diamond kamuajiri.George ambangile aliona sehemu gani kampost diamond mbona diamond kamuajiri? Salma Dakota uliona wapi kampost diamond mbona diamond kamuajiri?
 
Wakita kipindi kuwe Kikubwa pale waweke mtu mbili Lil Ommy na Jonijo pia wanadili maudhia ya kipindi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wote mule ndani walikua wanafanya kama huyo mtu imara anavyofanya ndiyo maana kipindi kizima kimesimamishwa na sio huyo mtu imara pekee aliyesimamishwa.
Hapana Jonijo na Aaliyah wapo vizuri na walikuwa wanafanya kazi yao vizuri ndio wanaopendwa Sana na mashabiki ila huyo mtu imara na Calypso ndo watu wa ovyo na nafasi yao walikuwa hawaplay part yao vizuri ndo walikuwa wanaharibu rhythm nzima ya kipindi.
 
Content ya kipindi ndiyo ina tatizo kubwa.

Yani kipindi kipo usiku muda ambao watu wazima wapo nyumbanj wanafatilia alafu wamejaa wahuni na maneno yasiyoeleweka sijui bango linawaka sijui linaungua.
 
Wakita kipindi kuwe Kikubwa pale waweke mtu mbili Lil Ommy na Jonijo pia wanadili maudhia ya kipindi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ili kupata kipindi kikubwa waache kucopy wawe wabunifu.
 
Back
Top Bottom