Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Kipindi cha Block 89 kimepatwa na nini?

Sababu ya mtu imara kuwa pale ni RJ yeye ndo kamuweka pale, ni marafiki wakubwa sana na umwambii kitu Rj kuhusu MTU imara
 
Kaharibuje mambo?

Hicho kipindi kuna siku nilikisikia wakiwa wanazyngumzia kifo cha Kobe Bryant, full uwongo.

Hata hawajajiandaa, wanaongea vitu vya ajabu.
kabla ya lil ommu kuja kilikuwa na kipindi hicho cha usiku ambacho maudhui yake yanafanana na vipindi alivyokuwa anavifanya lil ommy.so nadhani wamefanya some adjustments kipindi wakampa lil ommy
 
kabla ya lil ommu kuja kilikuwa na kipindi hicho cha usiku ambacho maudhui yake yanafanana na vipindi alivyokuwa anavifanya lil ommy.so nadhani wamefanya some adjustments kipindi wakampa lil ommy

Okay, kwa hiyo hapo tunasema ameharibu?
 
hiyo lugha tu mzee sio kuharibu kwamba kafanya kitu kibaya
Me nilikupata mapema naona jamaa lugha za mtaani zimempitia kushoto alafu unatakiwa ujue sio wote humu ni vijana wengine wameenda aged na baadhi wanaweza wakawa ni aged lakini wanajua lugha ya sisi vijana lakini kuna wengine hawafahamiki.
 
Hahah anzisha tu Page yako mkuu then anza:

Kumsifia Diamond kua ndie msanii mwenye mpunga Afrika nzima,akivaaga nguo 1 harudii mwaka mzima,msifie sana mama yake huku ukimwambia yaani una lishepu kama lote kichuna changu,huku ukiwa tayari kupambana na wanaompinga Diamond popote pale from Insta,fb,Jf na usisahau kuwaponda sana ma-ex wa Diamond.

Then ndani ya muda mfupi tu,tutasikia Dj. Yna2 ndani ya mjengo bango kubwa mzee wangu bango linawaka taa sijui nini.

Usitusahau tu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu huu ni Mwanzo Vipindi vyote pale Wasafi vitaanguka Mpaka waache Ku-copy copy

Lily Omy akija kustuka atakua ameshafika level za akina Mtu Imara ni Swala la Mda tug
Hiv mzee baba uchawi utaacha lini?
 
Daaah block sikuwahi kukielewa kamwe zaidi ya kuona wanapiga kelele tu tena wale mademu ndio balaa kuna mmoja anaongea sana mpaka anachapia......bora hakipo kilikua kero tu.....
Mimi nataka kile kipindi chao cha michezo kiwekwe muda sawa na cha efm tuone iyo battle ya listerners wataegemea wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom