Hivi hiki kipindi kinalenga kuifundisha nini Jamii? Ni udhalilishaji tu wa Wazee wale, lugha, ukaaje wao havina maadili kabisa. Huyu kijana nae hana maadili kabisa ya uongozaji wa kipindi hiki, nashauri kipindi hiki kifutwe au kibadilishwe maudhui
Sorry ni Maadili sio hicho nilichokiandika
Na kwa kuwa wanapenda ujnga dawa yao ni kuwawekea vipindi vya kishenzi kam big brthr, miss tz, bibi bomb ili vitazamwe na washenzi wanaovishabikia humu jf
hakuna kipindi cha kipuuzi kama hicho nchini au tuseme africa nzima.
...Kipo kimoja hapo kwa majirani nimekisahau jina ambacho kina mwanamama mmoja mtu mzima hivi ambaye anashirikiana na wasaidizi wake kuonyesha hata mikao mbali mbali ya Kujamiiana!! Angalau hakishirikishi Wazee wetu na kuwadhalilisha kama hiki cha huku Kwetu...! Na Wahusika wakoBZ kufungia Magazeti ya Maana...!!:A S angry:
hahahhaaa kipindi laaanifu kile sijapata kuona, hiki hapa Mpwa
https://www.youtube.com/watch?v=J-seD81a3kA
Connect; Mombasa Raha Positions: Ndio Jina lake
CC: mamndenyi Aine Paloma na wengineo akina ladyfurahia na farkhina
hahahhaaa kipindi laaanifu kile sijapata kuona, hiki hapa Mpwa
https://www.youtube.com/watch?v=J-seD81a3kA
Connect; Mombasa Raha Positions: Ndio Jina lake
CC: mamndenyi Aine Paloma na wengineo akina ladyfurahia na farkhina
kinapatikana wapi tandale. makoroboi au saadani?
Samahani kwa atakayeumia, ila ikumbukwe kuwa idadi kubwa ya watanzania inapenda vitu vya kijinga na visivyo na maadili ndani ya jamii, mfano angalie jinsi watu wanavyoshupalia kipindi cha big brother africa. Jiulizeni kile kipindi kina maadili gani hapa TANZANIA?