Edward Mizambwa
Member
- May 16, 2016
- 99
- 15
How do you know!?
Aliyeona, aliyeyasona na aliyeambiwa, hawa ni watu tofauti kabisa
How do you know!?
namimi niko kwenye kipindi naona polepole amepwaya sanabavicha bana wana visa
Hawa wasingeitetea ccm , ndio kisa cha Polepole kujileta studio , ameletwa ili alete porojo zake za kishamba ...wa kufaa hapa angekuwa Mzee Butiku ama Mzee Msekwa.
hahahahaha!! ChakubangaCHAKUBANGA
Ya uchumi wa kati wa viwandaAmesema nini kuhusu ccm mpya?
Ni kijana mwenye sura ya kizee. He looks older than his age!Nadhani bado kijana
Nadhani wewe ndo unataka kujidumaza sasa, hivi kweli Pole Pole anayoyaongea sasa hivi mtu anayemkosoa unaona ni kumuonea wivu!?!Tatizo la vijana wa tanzania ni kuoneana wivu na.mambo yasiyo ya msingi,
Si kwamba pole pole kaenda nje ya mada kabisa kuna mazuri pia kachangia ,
Ila.kwakuwa.tumezoea kuja na ID fake na kupinga kila.kitu basi mnadhani mnajenga kumbe tunadumaza akili zetu,
Jamii yetu imemzunguka majungu na pointi pembeni,
Humphrey si ndo huyu mlikuwa mnamshangilia akiwa na warioba?
Tuwe fair
Naangalia kipima joto hapa, Ndg. Pole Pole kawekwa katikati ya Proffesa Baregu na Proffesa mwingine hapa kuongelea miaka kumi na nane bila Baba wa Taifa, je misingi ya utaifa aliyoasisi inaenziwa!?
Ndg Pole Pole hapa anayoongea ki uhalisia hayaendani na Mada na amepwaya mbele ya wachangia Mada wengine.
Hili linaweza lisiwe kosa lake maana watu alionao sio level yake! Ni kosa la muandaa kipindi! Huwezi kumuweka Pole Pole katikati ya wazee tena maprofesa kujadili jambo! Huyu alitakiwa kukaa pembeni na kuwasikiliza kujifunza kutoka kwao
kweli kabisa mkuu, utapia mlo unasababisha vijana wengi wawe dhaifu katika kufikiri.Tatizo la vijana wa tanzania ni kuoneana wivu na.mambo yasiyo ya msingi,
Si kwamba pole pole kaenda nje ya mada kabisa kuna mazuri pia kachangia ,
Ila.kwakuwa.tumezoea kuja na ID fake na kupinga kila.kitu basi mnadhani mnajenga kumbe tunadumaza akili zetu,
Jamii yetu imemzunguka majungu na pointi pembeni,
Humphrey si ndo huyu mlikuwa mnamshangilia akiwa na warioba?
Tuwe fair
Na hapa si wanajua ID yangu na nimekosoa basi tegemea taflankweli kabisa mkuu, utapia mlo unasababisha vijana wengi wawe dhaifu katika kufikiri.
Viwanda vya vyerehaniYa uchumi wa kati wa viwanda