Kipimajoto ITV miaka 18 bila Baba wa Taifa; Je, misingi ya utaifa aliyosimamia inaenziwa na kuendelezwa

Polepole unapoongea kwenye media tambua mnaangaliwa na watu wengi sana..! Wengine tuna akili zaidi yenu mara 100, kuwa kiongozi hakukufanyi kupindisha ukweli na kutuaminisha eti umasikini maana yake ni kumsaidia maskini kupita vizuizi vya tozo za mazao bila kulipa.
 
Acha kudanganyika na Maprofesa kwani wengi wao ni watupu sana tu Vichwani mwao. Polepole hajashindwa kwa ajili yao bali ni kwa Upopoma wake tu ambao siku zote nimekuwa nikiusema humu Jamvini.

Watupu! Mbona we ndio bogus kabisa acha dharau Zako za
Kidada
 
Prof mbwiliza anahitimisha
Lazima tufanye Mjadala wa kitaifa juu ya mwafaka wa kitaifa
Tuachane na uchama wa kupitiliza ambao unatuharibia mwelekeo wetu kama nchi
 
Watupu! Mbona we ndio bogus kabisa acha dharau Zako za
Kidada

Narudia tena kusema na safari hii kwa jeuri na nyodo zote kabisa kwamba 90% ya Maprofesa wa Tanzania ni ' Mabogasi ' utake usitake. Tunashinda nao 24/7 na tunawaona hivyo binafsi nazungumzia kwa upande wangu kwakuwa nina bahati kubwa sana ya kukutana nao sehemu mbalimbali za Kitaaluma. Uprofesa wao ni wa katika Vyeti vyao tu ' thinking ' yao ipo chini mno na kuna muda ukiwabatisha kuwa nao unaweza usione tofauti ya Mimi GENTAMYCINE niliyeishia darasa la Saba tu na Wao waliobahatika kufika huko Kwenu Chuo Kikuu.
 
Muda si mrefu atafukuzwa uanachama wa kile chama pendwa. Lazima aainishe ni chama kipi na kilimtetea nani kwani hakuna siyekijua hicho chama na kuwa kinafanana na kile anachokiongoza saana.
 
Tatizo la vijana wa tanzania ni kuoneana wivu na.mambo yasiyo ya msingi,

Si kwamba pole pole kaenda nje ya mada kabisa kuna mazuri pia kachangia ,

Ila.kwakuwa.tumezoea kuja na ID fake na kupinga kila.kitu basi mnadhani mnajenga kumbe tunadumaza akili zetu,

Jamii yetu imemzunguka majungu na pointi pembeni,

Humphrey si ndo huyu mlikuwa mnamshangilia akiwa na warioba?

Tuwe fair
So tulipaswa kuendelea na kumshangilia? Ni robots tu ambao wako static hadi watakapokuwa programmed upya!
Tunapokuwa na common interests,Hilo litatuweka pamoja, tunapokuwa na different interests lazima tuwe na different Perceptions!
 
Back
Top Bottom