Hehehe mie nimepita kuwasalimu tu na ujumbe wangu ni kwamba
"msinitafuteeee mwenzenu niko bizeeee, msinitafute mwenzenu niko bizeeee"
Mzembe nakamilisha makabrasha ya mwisho mwisho nilambe share yangu Zimbwabwe Airlines.
Erotica na sweetlady anzeni kufanya mazoezi ya kutumia pafyumu za kifahari.
Kwaherini. Akiniulizia mzembe yoyote mwambieni nimeigomea JF kuunga mkono kuhama kwa Husninyo.
DJ weka wimbo wa taifa
Hehehe mie nimepita kuwasalimu tu na ujumbe wangu ni kwamba
"msinitafuteeee mwenzenu niko bizeeee, msinitafute mwenzenu niko bizeeee"
Mzembe nakamilisha makabrasha ya mwisho mwisho nilambe share yangu Zimbwabwe Airlines.
Erotica na sweetlady anzeni kufanya mazoezi ya kutumia pafyumu za kifahari.
Kwaherini. Akiniulizia mzembe yoyote mwambieni nimeigomea JF kuunga mkono kuhama kwa Husninyo.
DJ weka wimbo wa taifa
klorokwini my hubby dubby handisam wa ukweee sweetlady anataka kujinyonga juu ya kupotea kwako.
wewe jichimbie huko huko apete joto ya jiwe kidogo. na akikupa umbea kuwa nina mimba usimsikize. mwaaaaaaah.
Siamini macho yangu darling klorokwini .....yaani umewezaje kupita hapa bila kuacha zawadi ya busu?????.... Erotica wewe umeridhika?
Khaaaa!!!! mke mwenza Erotica ni wewe au kuna mtu kaiba p'word yako???? mbona watokwa na maneno makali hivyo?? na toka lini mie na wewe tukaanza kufanyiana umbea??....afu kumwambia klorokwini ajichimbie sio vizuri wewe wajua fika kuwa kwa sasa sili, sinywi, siogi wala silali kwa kumkosa lahazizi! Tafadhali mwambie arudi aache japo buthu tu roho yangu itaridhika!
sijaridhika ila msala nilionao unanifanya nifurahie kupita kwake. ngoja nisovu hii soo.
Hehehe nilijua tu msala ndio unakufanya umsukumize aende......lol
:hug:
:A S-heart-2: You!
:A S-rose::A S-heart-2::hug::dance::A S-heart-2::busu:A S kiss:
Wenye wivu na wajinyonge tu jamani lol.....eti oooh hakunaga mtu ma mke mwenzie wanaopendana khaaa....mbona mie na wewe twapendana kwa dhati?....:teeth:
hao washamba mamito. hawajui bora tu ukabali moja umjue mwenzio gharama ni nafuu
kidogo ki fizikia na baiologia kuliko kujifanya hujui hali ipo wazi yupo mwengine. alielala
usimwmshe wacha tujipe raha wenyewe na hubby dubby wetu klorokwini.
tena safari hii akirudi siku mbili za mwanzo tuna lala wote wa3 kusaidia kumkanda kanda uchovu wa safari.
weekend hii, nilitoka was hukooooo kuwaona parents na twins, ndio haswaaa nimerejea, nipo nanywa uji wa kungu ndio haswaaa kitulizo changu, huku namngojea shemeji yenu! lolest! kises kwa twins, waambi aunt cacico anawapendaje sasa??cacico mamito nilikumisije hasa hayo macho yako? mie mzima na the
twins enjoying huduma nawapatia from inside and out. uwapendao wazima mamie?
unaona mm na mwenzato tunavopendana? hadi raha ndani ya roho.