Remmy
JF-Expert Member
- Jun 9, 2009
- 4,701
- 1,807
Yaani mnaitana mkamchune baba wa watu?
Kachunikaje? Na saahizi tuko Sun siro tunakula raha...........nimemkomba mpaka nauli ya kurudi Chuga Hana.
Yaani mnaitana mkamchune baba wa watu?
Mi na wewe tunafanya kweli halafu unaleta topic inayotuhusu lolYananihusu sana!
Kwasabu ya wewe.
Mi na wewe tunafanya kweli halafu unaleta topic inayotuhusu lol
BTW Mzima aisee
Mi sana tu halafu siku hizi hata sikuoni kwenye naniiHahahaaaaaa........haya bana....
Mie sijambo kabisa
Miss you!
Mi sana tu halafu siku hizi hata sikuoni kwenye nanii
Hahahaaaa kwenye haloooKwenye nini my love?
Tukutane kwenye banda la JF then tunaenda zetuMmmh
Basi nitakuja.
Remmy nipeMrejesho au kitaalam tunaita MLISHO-NYUMA, aka feedback!
Tukutane kwenye banda la JF then tunaenda zetu
Hahahaaaa sawa sikudanganyi mwayaHaya najikoki.
Ole wako unidanganye.
Hahahaaaa sawa sikudanganyi mwaya