Kipigo kinajenga ama kinabomoa?

hata mtoto tu ukimpiga unamjengea hofu na kama akikuheshimu basi ni nidhamu ya kikunguru (ya woga) sembuse mkubwa mwenzio!!
 
sasa unataka unipe diagnosis?:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

A depression diagnosis is often difficult to make because clinical depression can manifest in so many different ways
 

Thank you. I feel proud of u.

But uko kimya sana.

Malaria bado haijapata dawa.

Hahaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kinajenga upande mmoja na pia kinabomoa,inategemea na attitude ya mpigaji na mpigwaji kama atakichukulia positive au negative.
 
Kuna wengine kwao msamiati wa diplomasia kwao....haupo..vipigo ndio maongezi yao na wanaelewa (kurya)
 
Sidhani kabisa kama domestic violence inaimarisha mahusiano.

Kwenye mahusiano pakiwa na domestic violence basi hapo hakuna kabisa mapenzi.

I mean, utampigaje mtu unayempenda?

Hii ni sawa kabisa ila kuna makabila mengine wao ukipigwa ndo unapendwa
Makabila ya kanda ya ziwa yanapiga hasa sio siri
 
Inategemea na kosa na hasira. Dhibiti hasira zako kwanza hapo ukiweza hata akifanya nini hutamrushia ngumi
 
A depression diagnosis is often difficult to make because clinical depression can manifest in so many different ways
ha ha ha haya ahsante bana... Dr.Mo na asakutesamenjooni mumsaidie big_in kumthibitishia hii diagnosis yake ya minazini 🙂
 
Last edited by a moderator:
Inategemea unakichukuliaje kipigo, na kimetolewa kwa kiwango gani kwa mtindo gani?

Sasa jamii zinazochukulia kipigo kama alama ya mapenzi kitabomoaje? Zaidi kitajenga mahusiano hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…