majam19
JF-Expert Member
- Nov 13, 2024
- 1,715
- 1,973
Hivi kweli laki 3 ndani watakula nn na ataendeshaje maisha kipato chake bado sio Cha kuishi na mke hasa najua bint lazma ni 2000+ kwahyo inawsza ndoa ikasumbua sanaAnza kununua computer upige kazi, hiyo laki 3 hata mahari haitoshi