nataka kujua ni sifa zipi wanawake wanaangalia kwa mwanaume
tunahitaji vitu vingi.......
Kila mtu na sifa zake.
vip hivyo Preta zaidi ya money pesa?
hebu tutajie za kwako plz.
tunahitaji vitu vingi.......
Mr husband......we hujui zaidi ya hela kuna vitu vingine.......
natamani ningeweza kufanya hvyo.
mie naangalia hela....
Good ni bora umekuwa mkweli,.....na huo ndio uhalisia wa mambo_wapi Preta