Kipi hasa wanawake wanachokiangalia kabla ya kumkubali mwanaume na kujenga mahusiano ya maana?

nataka kujua ni sifa zipi wanawake wanaangalia kwa mwanaume

mimi ni mwanaume na kwa uzoefu wangu ni kwamba wanaangalia zaidi hela,...kwa hiyo kama hauna msiko sahau kuambiwa baby i l.......you so much
 
Huwa hawaangalii ila wanasikiliza mvuto wa maneno unaommwagia, akiridhika anakupa mwenyeweee
 
asilimia kubwa huangalia maslah yao kama je atakapokuwa na huyo mwanaume shida zake zitatatulikwa,then ndo love inafuata,Lakin kitu kingine wachache huaangalia mapenzi ya dhati then ndo mengine yanafuata.................
na mara nyingi mapenzi ya siku hizi huwa hayanaga formula huwa yanatokea tu ,,,watu wanapenda kwa muonekano wa nje
 
fweza ndugu yangu! Mademu wa siku ìzi ukiwa nazo utaambiwa "baby you make of crazy!" hata kama una umri wa karne 1.
 
Cku hizi hawafikirii jesho leo ukiwa na mshiko mtoe out unalamba hapo hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom