Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
uliyeanzisha uzi kama ni mwanaume,huna mvuto na hujakaa kiume tafuta sana pesa!.......itakusaidia kukupa confidence inaonekana hujiamini!
hamna bana_nakuamini sana da Preta,...wewe niambie tu.mi ninachopenda nikikwambia utasema ni uongo.......
Wanawake wanaangalia vitu kama hivi,kwanza umekaaje,unasifa gani,je kiganjani unaenea?Je Una gx100,Master card je?je unajishughulisha nanini,Baadae ni Shaft performance!!Hii mkuu ukikosea unawezakuwa navyo vyote hapo performance ikawa mzozo imekula kwako!
The true perfection of man lies not in what man has,but in what man is.
ahahahahaaaaaaaaaaaa!..najua moyo unataka lakn sura inakusuta,..sema nini zaid ya pesa_Husninyo
mie naangalia hela....
asilimia kubwa huangalia maslah yao kama je atakapokuwa na huyo mwanaume shida zake zitatatulikwa,then ndo love inafuata,Lakin kitu kingine wachache huaangalia mapenzi ya dhati then ndo mengine yanafuata.................
na mara nyingi mapenzi ya siku hizi huwa hayanaga formula huwa yanatokea tu ,,,watu wanapenda kwa muonekano wa nje
mi sipendi pesa bwana. Naangalia true love. Lol
mi sipendi pesa bwana. Naangalia true love. Lol
suppose ndo umemaliza chuo,unapiga kazi sehemu,akatokea mfanyakazi mwenzio(A) akakutongoza.Kabla hujamkubali akatokea jamaa mwingine(B) alikuacha chuo enzi hizo,jamaa amepata kazi ya maana,ana kamjengo ka maana pale kimara,ana ka gx mia,na anashow love kwako.jamaa A mnadandia naye daladala,na unamjua maisha yalivyo ya kubangaiza.Wote wawili ni vigumu kujua kwa kiasi gani wana mapenzi ya kweli.utamkubali yupi hapo. bwana A au B.

niPM nikutongoze.
mi sipendi pesa bwana. Naangalia true love. Lol