Kipi hasa wanawake wanachokiangalia kabla ya kumkubali mwanaume na kujenga mahusiano ya maana?

hiyo ni kwa upande wa kujenga mahusiano ya maana kama alivyotaka kujua mleta thread

je ikiwa uhusiano usio na maana(casual dating,kudate mme/mke wa mtu n.k) unaangalia nini?

sijawahi na sitojaribu kuingia kwenye uhusiano usiokuwa na maana.
Kuna mwingine mwenye swali?
 
"maisha sio kutesa kila siku japo pesa ndo kila kitu"-mr blue aka kabyser aka babylon bizy bob clique prezdent

mademu wengi wanaangalia mshiko,kipindi cha zamani enzi hizo 1990-2000 walikuwa wanaangalia muonekano(h.b),1900-1989 true luv
 
mimi naona asilia kubwa wa hawa wa dada wa siku hizi wanojiita next levell kwa wanyonge huwa waangalia fedha!!
 
Kweli hii inategemea na mwanamke coz wanawake wanatofautiana sana katika vipaumbele vyao kwa wanaume
 
"Attraction of love has no choice"what women want is not what they want ,but they want you (men) to give them what they want without telling you what they want!
 
""ULINZI'' IF u are able to protect them from being harmed.FIND any muscles poSsible to protect her in each and every situation, because they are vurlanarble??? CAUSE IF U CANT SOME ONE DOES, halafu mpunguze confidence tu akuone mkubwa na wa maana kuliko mtu yeyote duniani.
 
"Attraction of love has no choice"what women want is not what they want ,but they want you (men) to give them what they want without telling you what they want!

Dah,, kizunguzungu.. Ila kweli arifu!!
 
tutake radhi ...kama mwanamke hamtaki mwanaume hata hayo maneno utakayosema hatasikiliza
 
Kwa kweli wanawake wa cku hzi hawatabiriki, wengi wanaangalia pesa/mali,tofauti na zamani walikuwa wanaangalia unadhfu,kujiamini,mwonekano wa umbo la nje/msuli na mapenzi ya dhati. Hii ndo imesababisha kuwa na talaka za kila kukicha..yangu ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom