kununua nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Jaymond kununua nyumba Sweden, anaweza kudhulumiwa

    Msanii wa Kitanzania ambaye alikuwa comedian na sasa ni kama content creator wa video fupi za kucheza mitandaoni ambaye ni Jaymond akiwa na Mpenzi wake Isabella kutoka huko Sweden wamefanikiwa kununua nyumba yao ya kuishi pamoja. https://youtu.be/f4z3j5N8b8g Lakini mimi binafsi naona kama...
  2. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
  3. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kununua nyumba au kiwanja Dar Es Salaam

    Salamu matajiri. Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka. Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa. Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia. sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
  4. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Kutana na eneo lenye ukubwa wa ekari 57,halina kipengele labda uje nacho wewe tajiri, eneo lipo chamakweza chalinze,morogoro road,bei ni milioni 854

    Eneo la Ekari 57 linagusa Morogoro road linauzwa Chamakweza, Chalinze Location Eneo lipo upande wa kulia ukitokea Dar es Salaam Upana wa mbele Ekari 2 zimegusa lami zinazobaki nyuma -Eneo ni tambarare halina Mlima Eneo linafaa kwa ujenzi wa Kiwanda, Godown, Yard na Bandari Kavu n.k -Plot...
  5. Eboo

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kununua iliyokamilika

    Habarini wana jamvi, kama mada inavyojieleza apo, naitaji nyumba ya kununua iliyokamilika. Iwe ni vyumba 2 au v3, kimoja wapo kiwe master au vyote, kuwe na sebule, jiko etc. Location iwe Dar, Morogoro au Mwanza, Arusha. Isiwe mbali na mji, iwe na umeme pamoja na maji. Offer yangu ni 40million.
Back
Top Bottom