Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

Kuna muda nilienda kinondoni Eco resident kuuliza apartments late 2014

Nikakuta apartments za chini ni mbili hamsini mpa mia tatu juu kabisa

Nivitu vijana wanaweza kuwekeza kwa muda mrefu baadae unalipua baadae wakajipata

Me mpaka Leo naishi kwa nyumba ya Babu sijawaza yangu
 
kujenga mwenyewe ndio bomba zaidi kwa ramani uipendayo !
NB. uwe free kusimamia mwanzo mpaka mwisho wa ujenzi kwasabab si mafund wote waaminifu, wanaweza kukupiga si mchezo

Pia ya kununua nyumba (ufanye research isiyo na migogoro/vipengele) kama umeipenda ramani na bei siy mbaya !
 
Nyumba yakujenga mwenyewe ni bora kwa 95% maana umeijua tokea zero adi unaingia na kama zakununua basi angalau izi zinazojengwa na makampu au taasisi za kibiashara (wanaojenga ili kuuza kibiashara) kwa izi nyumba zinazouzwa na watu binafsi,bank,mahakama izo usalama hua ni 45% maana wengi utakuta anauza anakwepa maden,nyumba kua na mauzauza,nyumba kuuzwa kwa manung'uniko,kuuzwa kwa dhuruma au utapeli na ata nyumba kuuzwa ikiwa haina ubora.sikuiz watu wengi hujenga majumba kwa njia za kishirikina,huweka vitu vya ajabu sasa ukija kununua wewe utaambulia vitu usivyovijua (ZIPO NYUMBA CHACHE ZINAZOUZWA ZIKIWA HAZINA KIPENGELE CHOCHOTE)
 
Back
Top Bottom