Yes ni one of them, Ila hakikisha unatumia 5.2 Thinking Model ( Hata ukipata 5.2 sio mbaya)its one of the best kama sio the best!!
- Inategemea na aina ya kazi unayotoa.Chatgpt nadhani ukipata premium package
Usimfananishe Open AI na Meta AI.. Open AI yaan GPT ni next level ingawa inakosea kuna wakati inaweza ikupe majibu yasiyo sahihi.. hilo Meta AI limewekewa limitations na restrictions kuna maswali ukiliuliza linakwambia habari za policy sijui nini upuuzi tu wakati Open AI ukiuliza chochote linakufungukia bila wasiwasiipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt
Ndio ni AI la kijinga kabisa unaliuliza maswali linagoma kujibu au linaweza likajibu halafu likafuta linasema policy sijui upuuzi gani stupid AI.. GPT hanaga huo upuuzi uliza chochote linakuporomoshea km kilivyometa ya kijinga maswali mengi haitaki kujibu
so gemin ndio mkali zaidi au?Yes ni one of them, Ila hakikisha unatumia 5.2 Thinking Model ( Hata ukipata 5.2 sio mbaya)
Data zinavyosoma muda huu:
View attachment 3521001
we mkuu weweweeeeNdio ni AI la kijinga kabisa unaliuliza maswali linagoma kujibu au linaweza likajibu halafu likafuta linasema policy sijui upuuzi gani stupid AI.. GPT hanaga huo upuuzi uliza chochote linakuporomoshea km kilivyo
Mfano hili swali ukiuliza Meta AI linagoma kujibu..
View attachment 3521006
Open AI au GPT ni dunia nyingine ukitaka jaribu.. Gemini anajitahidi ila hafiki kule kuna sehemu inagota ukitaka fanya uchunguzi mwenyewe utagundua kitu.. sijui nikwambieje ila GPT ukiiambia funguka inafunguka mpaka unashangaaso gemin ndio mkali zaidi au?
AI nzuri ni ile unayoiuliza chochote na inakujibu sio inakupa limitations na restrictions za kijinga hio sio AI nzuri..Sasa si inatemea wewe na mahitaji yako? Pengine ungesema unataka kwa ajiri ya kazi zipi, au ndo wale kutwa kuchwa unaiuliza AI upuuzi puuzi