Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

Najaribu mara nyingi kuifosi chtgpt initengenezee picha ila mara nyingi picha inagoma,je kuna app gan ya AI inayoweza kutengeneza picha zenye ubora kwa haraka au ndo mpaka niinunue niibadili iwe pro?
 
Back
Top Bottom