Kipanya leo anasemaje wakuu wenzangu?

Kipanya leo anasemaje wakuu wenzangu?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
kp15032012.jpg


Mimi mbona hiyo Hesabu yake sijaielewa. Je Wenzangu mume elewa lakini?
 
hata mimi sijaelewa kwakweli, labda anaelewana yeye na wanafunzi wake mamia waliokalia mawe hapo. labda ni spesho formula kwa wanafunzi wake aloo
 
Hapo mwalimu anafundisha wanafunzi wengi kwenye darasa moja pasipokuwa na miundo mbinu ya kutosha huku akiwa hawezi kumfuatilia mmoja mmoja kuhakiki kama kaelewa na kuamua kuwauliza kwa pamoja nao wanajibu ndiyo angali dhahiri kutakuwa na wengine hawajaelewa
 
Kibonzo hiki kinasanifu mapungufu katika utaratibu wa utoaji elimu nchini. darasa ni kubwa kupindukia (zaidi ya wanafunzi 45 ambayo ndiyo standard), wanafunzi wamekaa juu ya mawe / vipande vya tofali, mwalimu anafundisha kwa mtindo wa hotuba nk. Haya yote ni matokeo ya kwamba elimu nchini inatolewa bila kuwa na mwongozo wa msingi (curriculum) kama Mh Mbatia alivyobaininsha.
 

Attachments

  • Over Crowding_Taifa la Kesho.jpg
    Over Crowding_Taifa la Kesho.jpg
    66.9 KB · Views: 106
Mwalimu anafundisha wanafunzi wengi sana na kutokana na mazingira ye mwenyewe hana hamu yakufundisha..ndo maana kaandika hesabu isiyoeleweka na anawauliza wanafunzi wameelewa wanajibu ndio wakat kilichoandikwa chenyewe hakieleweki

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
MziziMkavu ina maana wote nyie hamjaelewa anamaanisha nini??
swali la kwanza
1[SUP]2[/SUP] : c-3-4m hapa kaandika neno ccm na alama ya kuuliza juu.........
swali la pili kasema
sigma-1x[SUP]2[/SUP] 14 hapa kaiandika cdm
sigama maana yake kageuza leta c kish leta c ukitoa moja inabaki 2 kuiisqwea unapata 4 which stands for leta d and 14 stands for leta M

kimsingi amefundisha hesabu ngumu sana kwa wanafuni akireveal maisha magumu kwa watu wengi hivyo akitaka waone nia na sababu ya kubadilisha maisha.
 
Last edited by a moderator:
mimi nahisi hiyo Ndiyoooo00000.....nyingine sio letter "o" ni herufi "zero"...kwaiyo wanaofwata mkumbo kwamba wameelewa kwa kusema ndiyooo wamepata zeroo.......vijana wa siku hizi wanakuambia amepata "Facebook"...SIO MSWAKI KAMA ENZI ZETU
 
hata mimi sijaelewa kwakweli, labda anaelewana yeye na wanafunzi wake mamia waliokalia mawe hapo. labda ni spesho formula kwa wanafunzi wake aloo
Jamaa walichoamua kufanya ni kufunika kombe mwanaharamu apite!
 
MziziMkavu ina maana wote nyie hamjaelewa anamaanisha nini??
swali la kwanza
1[SUP]2[/SUP] : c-3-4m hapa kaandika neno ccm na alama ya kuuliza juu.........
swali la pili kasema
sigma-1x[SUP]2[/SUP] 14 hapa kaiandika cdm
sigama maana yake kageuza leta c kish leta c ukitoa moja inabaki 2 kuiisqwea unapata 4 which stands for leta d and 14 stands for leta M

kimsingi amefundisha hesabu ngumu sana kwa wanafuni akireveal maisha magumu kwa watu wengi hivyo akitaka waone nia na sababu ya kubadilisha maisha.

We MWALIMU hata sijakuelewa......hivi ni kweli ulivyotafsiri hiyo hesabu? Japo nilisoma hesabu zamani kidogo, Lakini nimetoka kapa kabisa....LABDA WEWE NI MWALIMU WA HISABATI.....HONGERA TEACHER!!!
 
Back
Top Bottom