Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mtu wa Pwani, May 27, 2011.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  May 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  mm nnakubaliana moja kwa moja na mawazo ya masoud kipanya kwenye picha hii

  kipanya bwana.JPG
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Angalia usiwe kama NAPE NA SIASA ZA KATUNI
   
 3. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  hii inaonyesha hali halisi ya chadema, wazee wa kushabikia misiba
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bi Sophy habari za WEEK end!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  nA CCM WAZEE WAKUUA EEEH! JK BWANA NA VILAZA WAKE! CCM NI CHAMA CHANGU NAKILI SASA KIMEKWISHA KABISAA!
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kule Arusha wamefikia wapi ? hilo suali wanatakiwa walijibu, na baada ya Tarime wapi wajiandae na mauaji?
   
 7. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Habari yako sheikh.....samahani nilikuwa napita tu
   
 8. Revolutionary

  Revolutionary JF-Expert Member

  #8
  May 27, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Masoud kashachakachuliwa bado hakomi!
   
 9. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #9
  May 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  kama amabavyo nyie mnaacha mikutano muhimu inaendelea mnawahi kuja kumzika mchawi wa chama chenu
   
 10. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #10
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahaaaa... ukweli mtupu!! chadema wazee wa kujinufaisha kutokana na majanga
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  May 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu naona unataka kutukanwa! Shauri yako!
   
 12. s

  salieli Member

  #12
  May 27, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtatapatapa sana 2 ukweli utabaki kuwa ule-ule
  :mod:
   
 13. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #13
  May 27, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Bora wamechangamkia bila wao ingepita kimyakimya hii...afu atleast sa iv watu wakiuliwa na polis wanapata pa kukimbilia(chadema) tunashukuru 2mepata watetezi..
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  May 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,788
  Trophy Points: 280
  Mpe ofa ya kwenda kula mdudu
   
 15. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #15
  May 27, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ww ni km Ngedere akikosa mahindi hutafuna hata magunzi. Mawazo ya UZUMBUKUKU:pound:
   
 16. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #16
  May 27, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mtu wa Pwani... karibu Mdudu hapa Gymkhana Zenji...
   
 17. b

  bia JF-Expert Member

  #17
  May 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  narudia tena na ntazidi kurudia ukiona kijana akishabikia ccm kwa sasa ni njaa na si kingne,like it or nt,najua mpo ila sure rika la sasa c la ku2ambia ccm itatutimizia ndoto ze2 za kimaisha,hata we kijana mwenye njaa ambae umekubali ku2saliti masikin weng ila nawe uwe juu unalitambua hli bt we hope one dy yes
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  May 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa, kipanya wanfurahiiiisha!
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  May 27, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mgema akisifiwa tembo, hutia maji. huyu kipanya anasema hivi? naona falsafa yake inapitiliza. hivi, sababu ya chadema kuchimba makaburi ni ipi? sababu ya Arusha ni ipi? kwa hiyo huyu kipanya anaangalia tu pale alipodondokea na wala si alipojikwaa? kwa katuni hii nasikitika kusema kipanya umechemsha. kwa mtazamo wako cdm wanajinufaisha? kwa hiyo wao ndio walioandaa chezo la mauaji ili wafanye walichofanya?

  kwa nini hutaki kuangalia chanzo? madini yangewanufaisha wanyamongo ni lini mauaji yangetokea? ni nani chanzo cha hayo yote? kipanya tunakuheshimu ila unataka kupitiliza
   
 20. G

  GunzInTheAir JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 301
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha waje na matusi yao.....watatukana hadi watachoka lkn penye ukweli sitokaa kimya. Si uongo maana Chadema wanatumia majanga ili kupata sympathy toka kwa wananchi, hili halina uongo. Kama kuna mtu anaona huu si ukweli, basi aseme huo ukweli wake
   
Loading...