Kipanya: kweli hiki ni chama kilichoduma!

Jamaa huyu ni mkali kiliko katunist mwingine yeyote.
Ana vipaji vingi, mtangazaji, mchoraji, mbunifu wa mavazi, mshereheshaji, pia ni mfanyabiashara..
Namkubali sana.

utaolewa unasifia mwanaume mwenzako namna hiyo,wewe ulimbukeni kweli,mbona wa kawaida sana
 
Gubu, kama huwezi kufanya kama Kipanya kausha. So kuleta wivu wa kike bila 7babu, eti wa kawaida sana, kati ya vipaji vyake we unaweza kipi at best mpaka yeye awe wa kawaida? K*m*nyoko zako we!
 
punguza hasira kaka!!!

kuna watu wanapenda kusifiwa wao tu wanapofanya vizuri!! lkn si kumsifia mwingine anasubiri afe ndio utasikia marehemu alikuwa mwema sana, alikuwa anajitahidi, anajituma aaaaaaaaaahhh shit!!

hembu someni signature yangu hapo chini!! acheni wivu wa kijinga.
 
mmea kugombana kwa ajili ya huyo katunist eneee,ebu tupa kule izo ishu wajameniii
 
nadhan hapo kwenye ** kuna herufi 2 zime mic nazo ni U na A
 
Gubu, kama huwezi kufanya kama Kipanya kausha. So kuleta wivu wa kike bila 7babu, eti wa kawaida sana, kati ya vipaji vyake we unaweza kipi at best mpaka yeye awe wa kawaida? K*m*nyoko zako we!

Jamii Forums at its best.
 
punguza hasira kaka!!!

kuna watu wanapenda kusifiwa wao tu wanapofanya vizuri!! lkn si kumsifia mwingine anasubiri afe ndio utasikia marehemu alikuwa mwema sana, alikuwa anajitahidi, anajituma aaaaaaaaaahhh shit!!

hembu someni signature yangu hapo chini!! acheni wivu wa kijinga.

Niko mobile mpenzi, sioni signature. Ila kuna watu huwa wanaona raha kujifanya wanachukulia poa hardworking za wenzao. Kipanya ni kati ya maceleb waliolast muda mrefu bila kuchuja, hana mbwembwe, na wala sio mwingi wa skendo. Kama mtu ni mfano wa kuigwa lazma tuseme bwana!
 
Jamaa huyu ni mkali kiliko katunist mwingine yeyote.
Ana vipaji vingi, mtangazaji, mchoraji, mbunifu wa mavazi, mshereheshaji, pia ni mfanyabiashara..
Namkubali sana.
Hivyo tu basi!!
Duh!! haya bana!!
 
mmea kugombana kwa ajili ya huyo katunist eneee,ebu tupa kule izo ishu wajameniii

No! The big NO! Kipanya ni zaidi ya katunist, na ameinspire watu wengi sana. The guy deserves his credits, sasa kuna mijitu inafikiria kwa kutumia tumbo inakuja na kutoa argument tapishi, lazma tutapike kaka!
 
Jamii Forums at its best.
Mhmm... Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa, narudia tena, sipendi sifa za kizandiki. Nenda jukwaa la siasa ukaone kina Mwanakijiji, Kiranga et al wanavyotoa kritiko analisisi, au kina Zing, Paulss na dr. Phone wanavyotoa maujanja ya bure kwenye teknolojia, au hata Mammamia, husninyo, Shossi, Nazjaz n.k wanavyojimwaya kule MMU, hatafu ndo uharishe hiyo mineno yako, hata mimi nitakupigia makofi. Kwa sasa sitaki unafki!
 
No! The big NO! Kipanya ni zaidi ya katunist, na ameinspire watu wengi sana. The guy deserves his credits, sasa kuna mijitu inafikiria kwa kutumia tumbo inakuja na kutoa argument tapishi, lazma tutapike kaka!

Kuna kingine kizuri kakufanyia vizuri ndio maana misuri inakukakamaa watu wanapokupinga? Usikute kaku-Zantel "twanga kotekote" (make unavyomsifia sio bure!)
 
Mhmm... Usinipake mafuta kwa mgongo wa chupa, narudia tena, sipendi sifa za kizandiki. Nenda jukwaa la siasa ukaone kina Mwanakijiji, Kiranga et al wanavyotoa kritiko analisisi, au kina Zing, Paulss na dr. Phone wanavyotoa maujanja ya bure kwenye teknolojia, au hata Mammamia, husninyo, Shossi, Nazjaz n.k wanavyojimwaya kule MMU, hatafu ndo uharishe hiyo mineno yako, hata mimi nitakupigia makofi. Kwa sasa sitaki unafki!

At least your senses are coming back now, next thing to do is to apologize. Thank you.
 
Kuna kingine kizuri kakufanyia vizuri ndio maana misuri inakukakamaa watu wanapokupinga? Usikute kaku-Zantel "twanga kotekote" (make unavyomsifia sio bure!)

Sishangai mwizi kuwa na hisia za kuibiwa siku zote. Nimewapa kredit watu wengi humu jamvini, sasa kama naweza ku-zanteliwa na watu wote hao sawa, after all kuangukiwa ni jambo la kawaida, mbona wewe mkasi(hukati mpaka utiwe vidole) na bado maisha yanasonga. Ungepatwa na dhahama kwa tabia yako ya sasa pengine hata mimi ningeopopa!
 
Back
Top Bottom