Kipanya kapiga Ikulu, yaani mwanao afe wa jirani apone

Kipanya ni akili kubwa, mchoro mmoja unatoa habari iliyokamilika.
Uzuri wa katuni kila mtu anaweza kutafsiri anavyoona, kwa hiyo huwezi kudhibitisha unachodhani mchoraji alimaanisha.
Big up Kipanya, unatumia kipaji chako kueleza ukweli
 
"Katumwa na mabeberu,Kipanya sio mzalendo"

Jamaa akijinadigi kuwa ni mzalendo huwa namshangaa sana kwa kukosa soni!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…