Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Makabidhiano ya msaada yaliyofanyika leo Karonga Malawi mkuu wa wilaya ya Kyela Tanzania ametamka wazi kuwa ni msaada toka kwa Rais Magufuli, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV; Kama kuna wananchi wanaotaka kutoa msaada haijakatazwa.
Alafu akienda shilingi ňdo itaimarika sana dhidi ya dola
Pole sister, lakini kwa nini kupanua kukuchanganye?Akili za kupanua zinanichanganya
Yah! Upendo wa mshumaa! Wako ashibe wangu afe!! Upendo wa kijinga kabisa!Magufuli amedhihirisha upendo wa kiafrika