Kipanya kapiga Ikulu, yaani mwanao afe wa jirani apone

Makabidhiano ya msaada yaliyofanyika leo Karonga Malawi mkuu wa wilaya ya Kyela Tanzania ametamka wazi kuwa ni msaada toka kwa Rais Magufuli, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV; Kama kuna wananchi wanaotaka kutoa msaada haijakatazwa.
Magufuli kayatoa hayo mahindi shambani kwake? Eti hata ndege kanunua magufuli! Halafu tunalazimishwa kushangilia!! Na mimi niliamua tu kushangilia! Nisameheni!
 
Namuelewa sana kipanya analitumia vyema jukwaa lake hasa kipaji alichopewa na Mungu kuitumikia jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
 
Kipanya ni akili kubwa, mchoro mmoja unatoa habari iliyokamilika.
Uzuri wa katuni kila mtu anaweza kutafsiri anavyoona, kwa hiyo huwezi kudhibitisha unachodhani mchoraji alimaanisha.
Big up Kipanya, unatumia kipaji chako kueleza ukweli
Yaani hapo hata mahakamani kesi itakuwa ngumu.
Labda watume tu Nissan nyeupe impoteze kama Azory.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni. Ujumbe muruwa! Angeandika tungesikia kakamatwa kwa uchochezi ila hapo ujumbe unafika kiulaini ila pa kkamatia hakuna
 
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
Taratibu kijana.. Mbona mbio mbio??
Tuliza akili yako vizuri...
HAPO KUNA TATIZO GANI AU UCHOCHEZI GANI... 80% YA WATZ HAWANA ACCESS YA MAGAZETI WALA INTERNET...
Wakati mwingine ni muhimu kujipa muda kabla ya kuchangia mada..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
Anaeneza chuki ni yule aliewanyima msaada wananchi wake wa kagera kipindi cha tetemeko then anatoa msaada kwa jirani.
 
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
Ila pakichimbika nyie wezi wa rasilimali na wapenda sifa kutakua na mtu wa kuwashangilia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya nd
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
matakataka Kama haya hujitokeza juu ya kila hoja mujarabu.
 
Similar Discussions

53 Reactions
Reply
Back
Top Bottom