Kipanya kapiga Ikulu, yaani mwanao afe wa jirani apone

Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
Ahahahaaa
Umeandika nn mkuu, mie nipo nakumbuka tu jinsi fedha za Kagera zilivyopigwa na mzee baba na akasema si yeye aliyeleta tetemeko, nadhan yeye ndiye aliyeketa kimbunga huko kwa jiran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipanya ni akili kubwa, mchoro mmoja unatoa habari iliyokamilika.
Uzuri wa katuni kila mtu anaweza kutafsiri anavyoona, kwa hiyo huwezi kudhibitisha unachodhani mchoraji alimaanisha.
Big up Kipanya, unatumia kipaji chako kueleza ukweli
Namkubali sana Athuman Kingo
 
Nadhani ni juzi tu nimemsikia Waziri/naibu wa Kilimo akielezea hali ya kukatisha tamaa kwa mazao aliyoikuta kwenye baadhi ya mikoa.

Sasa sijui kama tumejipanga au tuna imani kuwa 'Mabeberu' watatimiza wajibu wao kama mambo yakielemea huko mbele.
 
Hapo kuna chuki ganj acha upopoma hapa nchini kuna watu wanakufa njaa kwa kukosa chakula afu wewe unagawa nje tena kwa mbwembwe?
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipawa ukitumia vibaya inakuwa sio kipawa tena bali laana,tafakari,Kipanya anatumia kipawa chake kueneza chuki,kumbuka hata Rwanda walioeneza chuki ni watu waliotumia vipaji vyao kama Kipanya,Kipanya akitaka siasa ajiunge tu na siasa na si kutumia kivuli cha uchoraji wa vikaragosi,nani asiyejua kuwa Kipanya ni kikaragosi cha Chadema?kumbuka pakichimbika hata hivyo vikaragosi vyake hakuna atakyekuwa na muda wa kuvisoma.Je ina maana unapotoa msaada kwa jirani wewe jamaa zako hawana shida?
Mbona povu linakutoka sana Mkuu?kwani hiyo Cartoon ina shida gani-Si inaonesha upendo wa jamaa kulisha mtoto wa jirani huku akijigamba hatoi chakula kwa wanae au?
 
Sasa hivi huyu jamaa hata akitekwa au akimiminiwa na Wasiojulikana hatutoshtuka kiviiile.

Ameshakuwa kama Mgonjwa aliyelazwa Hospitali muda mrefu hata mkisikia ameondoka hamshtuki sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom