Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

KP naye ni binadamu kama wewe na ana hisia hivyo sio mbaya kuzionyesha!
Ni nani atakayekataa hisia zake!? ....kama watu wanaolipwa laki tatu kwa siku ambazo analipwa mwalimu kwa mwezi wanatumia siku sitini kuchagua mwenyekiti kutoka miongoni mwao ulitaka asemeje!???
 
Nadhani umemwelewa kwa mtazamo huo ila mimi kwa upande wangu nimeelewa kua hayo ni maneno ya wananchi kupitia katuni hiyo na inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamechoshwa na kukerwa na maigizo yanayoendelea bungeni huku kodi zetu zikiteketea.

Kwa hiyo mdau, nionavyo mimi, hayo si maneno ya Kipanya ila ni ya wananchi. Kipanya kayawasilisha tu.

Huu ni mtazamo wangu pia.

Ni maneno ya wananchi ndiyo! Kumbuka pia yamewasilishwa na mwananchi huyo huyo kwa niaba ya wenzake. Lakini siko zote mass ya watu wanaweza wasiwe sahihi ktk mtazamo fulani, ile ndege ingekuwa imebeba hata huyo mwananchi mmoja wa Tanzania, tungeendekeza mifano na lugha ya Kipanya?
 
Mimi sio lakini madhara ya kupotea ndege yanajulikana ni kwamba wale watu walikufa kwa hiyo na hawa wabunge ina maana ni bora wafe kivile? Huu sio ubinadamu sasa

wao wanachofanya ni ubinadamu leo siku ya ngapi na hakuna chochote walichokifanya zaidi ya kujilimbikizia pesa bila kufanyia kazi huku wananchi tukitaabika
 
Huo msemo niliuandika hapa JF juzi nikisema kuna jamaa yangu kanitumia sms anasema ni heri ile ndege ya malaysia ingepotea na wabunge wa bunge la Katibakuliko wale raia wasio na hatia.........kama hivyo ndivyo basi aongeze ubunifu maana msg ya huo msemo naona wanayo wengi.
Kp yuko sahihi kabisa wala hajakosea. Mibunge inaendekeza chama badala ya maoni ya wananchi umeona wapi? Mbunge hii itakumbukwa km misaliti kwa wananchi.
 
Ni maneno ya wananchi ndiyo! Kumbuka pia yamewasilishwa na mwananchi huyo huyo kwa niaba ya wenzake. Lakini siko zote mass ya watu wanaweza wasiwe sahihi ktk mtazamo fulani, ile ndege ingekuwa imebeba hata huyo mwananchi mmoja wa Tanzania, tungeendekeza mifano na lugha ya Kipanya?

Kukujibu swali lako kwa kifupi ni kwamba kweli tungempoteza Mtanzania tungeomboleza ila kuhusu hiyo katuni ni kua si kwamba wajumbe wanaombewa kifo, la hasha, bali ni ujumbe tosha kua wamechokwa kwa wanachoonekana kuchezea kodi za wananchi.
 
Mbona hiyo ni kweli kabisa bora ingewabeba wale sababu hawana uzalendo rasimu iliyobeba maoni ya wananchi kuichakachua wewe unaona uzalendo au kuturudisha nyuma

Ingekuwa nafuu ingewabeba mahafidhina wa rangi ya kijani ambao wamewekewa mipaka ya kufikiri, kamati kuu yao ishawawekea ukomo wa kufikiri kwa hiyo wapo pale kama mazuzu tu.

Ndugu zangu katika dunia hii hakuna kitu kibaya kama brainwashing, hakina Osama wanafanikiwa katika kutimiza mambo yao maovu baada ya kufanikiwa kuwafanya binadamu wenzao misukule, Mtu anafikia kiwango cha kukosa logic and reasoning. Nikiwaangalia michango ya wana wa kijani hawana tofauti sana na akina Mohamed Atta na wengine waliojilipua WTC wakitegemea wataenda mbiguni kupewa wanawake bikila!!
 
Attachments

  • 1396257391894.jpg
    1396257391894.jpg
    59.5 KB · Views: 445
Nadhani umemwelewa kwa mtazamo huo ila mimi kwa upande wangu nimeelewa kua hayo ni maneno ya wananchi kupitia katuni hiyo na inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamechoshwa na kukerwa na maigizo yanayoendelea bungeni huku kodi zetu zikiteketea.

Kwa hiyo mdau, nionavyo mimi, hayo si maneno ya Kipanya ila ni ya wananchi. Kipanya kayawasilisha tu.

Huu ni mtazamo wangu pia.

uko sahihi mkuu. Na pale anaonesha ni sauti inayotoka kwenye kijumba ndo inasema hvyo. Yeye kama kipanya anashangaa
 
Hiyo katuni wazo lake kalipata humu humu JF kuna mchangiaji juzi alijenga hoja hiyo; kwa maana nyingine, ile nyumba ni JamiiForums.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

sasa kakosea nini hapo au umekosea kuandika mie ningetaman na nyingne iwabebe wale wooote wanaichagua CCM
 
Mbona hizo meseji tumetumiana sana naona yeye kanukuu tu kama ilivozagaa kitaa na ndiyo maana anashangaaa!!!
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

Ukweli mtupu....Kipanya namkubali sana..
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

Kpnya hajalewa sifa ila mwenedo wa Bunge la Katiba linaudhi kwani CCM wanaharibu Bunge kwa kuligeuza kikao cha Chama chao. Watanzania wametoa maoni yao kupitia tume ya Jaji Warioba lakini CCM wao kwa sababu zao na kuifanya hii nchi mali yao hawataki hata kumsikia Jaji Warioba. CCM wanamwona ndiye adui wao No 1 wakati aliyaandika ndio Watanzania wengi tumesema. Kipanya yuko sahihi bora wapotee wote ili tuje kupata katiba sahihi ya watanzania.
 
We ndo uliyekosa uzalendo sasa hivi unaangaliaga bunge comedy mpaka umkosoe Kp?
 
Back
Top Bottom