Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

Du! Ningejua nisingeanzisha hii thread, kumbe tuna roho za hivi! Yaani Watanzania kwa kuamini kitu kisicho sahhi. Kikwete alisema maisha bora kwa kila Mtanzania tukaamini, maisha yenyewe yako wapi sasa! Leo hii tunaamini eti Katiba iwe ya serikali tatu au mbili itatufanya tuendelee. Ngoja nisubiri, tutaona itavyokuwa, tujiaminishe tu na imani zetu.
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

Nafikiri hapo kipanya ye mwenyewe anashangaa..kapita sehemu watu wanaongea hivyo si yeye kipanya ndo kasema wangepotea wabunge na hiyo ndege. Angalieni vizuri picha.
 
Mimi sio lakini madhara ya kupotea ndege yanajulikana ni kwamba wale watu walikufa kwa hiyo na hawa wabunge ina maana ni bora wafe kivile? Huu sio ubinadamu sasa
hapa kipanya ametumia lugha ya fasihi kuwakilisha ujumbe haitaweza kuja kutokea wabunge wa katiba mpya wakapanda ndege na ikapotea ila anachoona hawa jamaa
hawana cha maana walichofanya huko Dodoma ni bora waondoke huko na yusahahu jambo hili mpaka wakati muafaka utakapofika
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

kipanya ni msanii anaepotray mawazo ya jamii so kama kuna mwanajamii anataka wajumbe wapotee na ndege we unapinga vp..unajua kaz ya sanaa lakin?
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!
Wajumbe wa bunge la katiba hasa maccm na mawakala wake wameonyesha u-se-nge wa hali ya juu dhidi ya katiba ya watanzania, na hili liko wazi sana

Wahuni kama akina Masudi enzi zile za nyerere walikuwa hawaachwi watambe. Wamshukuru JKikwete anawachukulia poa tu.
 
Mleta madam hujamwelewa kipanya

Alichoweka ni kitu kinachozunguka kwenye social media for weeks

Yeye ameshangaa tu...
 
Huo msemo niliuandika hapa JF juzi nikisema kuna jamaa yangu kanitumia sms anasema ni heri ile ndege ya malaysia ingepotea na wabunge wa bunge la Katibakuliko wale raia wasio na hatia.........kama hivyo ndivyo basi aongeze ubunifu maana msg ya huo msemo naona wanayo wengi.

wahisha hati miliki yako pale kosota ulipwe fasta!
 
picha inajieleza wazi haya maneno hakuyasema yeye kasikia watu wakiyasema kutoka ndani ya nyumba inawezekana nyumba yenyewe ni JF!!!

Mkuu umenikumbusha juu ya PICHA TAJIRI yaani RICH PICTURE picha ya namna hii ukiitazma tu unapata majibu yoote hakika amesikia kwenye nyumba ya JF, Thanks #Gedeli
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!
Umepotosha kwa makusudi alichokisema 'kipanya'. Kwa maana ya katuni yake, naye pia ni kama ameshangaa mawazo hayo ya baadhi ya watu...anasema "duh"!
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

Tell you what....the guy was right.
 
Katika katuni yake ya leo anasema "Hiyo ndege iliyopotea bora ingekuwa imebeba wajumbe wa bunge la Katiba".
Naamini hii ni kulewa sifa na kukosa ubinadamu kabisa. Siku zote napenda katuni zake lakini hii hapana!

kipanya kanena vema kabisa .mi binafsi sifurahishwi na hili bunge naona nikuchezea hela tu nahata sithani kama kutapatikana katiba nzuri
 
hata mm naunga mkono hoja ya katuni hawa wajumbe wahuni na washenzi wakubwa
 
Kuombea mtu mwingine kifo yataka moyo!

Ndugu yangu hiyo ni lugha ya kifalsafa..iliyobeba ujumbe kuwa wabunge wa bunge la katiba wanachefua kwa kauli na matendo yao ambayo hayaonyeshi dhamira ya kutunga katiba mpya kwa kuzingatia maoni yaliyotolewa na wananchi.
 
Back
Top Bottom