RICH OIL SHEIKH
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 883
- 167
Ujume wa kipanya kwenye picha hii ndo ilikuwa hotuba ya eid elfitri ktk misikiti mingi leo. VP kesi yako na gazet la NYAKATI kumwita PAPA FREEMASON imeishaje@ PLATO
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!
Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti
Asante mwaya. Hebu nipe directions nije, nishavalia dera
Nabeba mayonnaise, ndizi na pilipili
waislam ki ijumla sasa wamekaa kiutataa ..
nchi ipo matatani na milaji ya nchi...wao wapo busy kutaka kujua mpo wangapi
...terrible story..
hajawakumbusha kuyaenzi bali kawaambia ukweli wa mnayoyafanya baada ya muda mrefu wa kufunga.jana ilikuwa noma leo ni kwikwi.Eid Mubarak kipanya endelea kutukumbusha kuyaenzi tuliyokuwa tukiyatenda wakati wa mfungo hata kama mfungo umekwisha