Kipanya Atukana Waislamu?

Ujume wa kipanya kwenye picha hii ndo ilikuwa hotuba ya eid elfitri ktk misikiti mingi leo. VP kesi yako na gazet la NYAKATI kumwita PAPA FREEMASON imeishaje@ PLATO
 
Eid Mubarak kipanya endelea kutukumbusha kuyaenzi tuliyokuwa tukiyatenda wakati wa mfungo hata kama mfungo umekwisha
 
attachment.php
 
Nimefurahi kupata majibu ya mada. Nimeshindwa kumuelewa jamaa, masoud nadhani ni mwiislamu. Sidhani kama ameamua kujitukana yeye. Kwa uzoefu wangu mambo mengi maovu yanakuwa kama mtu kaweka pause vile. Baada ya mfungo utaona ndiyo speed inaanza kwa kasi.
kipanya anafundisha kaka!
 
Plato leo mbona thread zako zinalenga kuwaharibia watu sikukuu yao tu. Jaribu kuanzisha thread kuhusu michezo, si unajua ligi ya Uingereza imeanza. Naona tangu asubuhi wewe ni thread za kuharibu sikukuu ya Idi tu. Sikukuu ya Idi ni sikukuu ambayo watu huwa wanaiearn, haiji tu kutokana na tarehe, kwahiyo siyo fair watu waliovumulia mwezi mzima kuwaweka katika mitihani isiyokuwa na ulazima.
Usiwafanyie hivyo wenzako ndugu yangu...
 
Last edited by a moderator:
waislam ki ijumla sasa wamekaa kiutataa ..
nchi ipo matatani na milaji ya nchi...wao wapo busy kutaka kujua mpo wangapi

...terrible story..
 
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!

Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti

Weweeee!!
 
Dah, afadhali wamefungua make kijiwe changu cha HOT fire kilikuwa kimesinzia sana! karibuni tena!
 
Asante mwaya. Hebu nipe directions nije, nishavalia dera
Nabeba mayonnaise, ndizi na pilipili

Njoo Tandale Chaka, ulizia kwa Casto wa Cuba nyumba ya kwanza ya pili nje wanauza utumbo wa kuku.
 
nafurah wadau wameushtukia uzushi wako mapema,

si tabia nzuri kuzusha jambo kama hl linagusa imani za watu tena kipindi muhimu kama hiki...

jirekebishe....................................
 
waislam ki ijumla sasa wamekaa kiutataa ..
nchi ipo matatani na milaji ya nchi...wao wapo busy kutaka kujua mpo wangapi

...terrible story..

Mimi naona pia unalako unalitafuta, sasa kuna ubaya gani watu wakitafuta haki zao, unajua nini maana ya hizo takwimu za uongo...

Usikurupuke, kama halikuhusu kaa kando.
 
Back
Top Bottom