Kipanya Atukana Waislamu?

Kipanya Atukana Waislamu?

Asante Kipanya kwa kutukumbusha kua baadhi ya waislam
wanasubiri ramadhan iishe tu ili warudie tabia zao ambazo
haziendani na mafunzo ya kiislam. We will pray for them
allah awawezeshe kuachana na tabia hizo, insha'allah.
Hakuna alie kamilika.

umenena vyema mwali, ALLAH akuzidishie, wanahitaji kuombewa na kukumbushwa.
 
kipanya kakumbusha, tatizo kuna watu wafitini wanataka kujaribu kuudhalilisha uislam na kuleta fitna, mwisho wa ck utasikia wanalalamika kuna udini wakati wao ndio wanao uchochea.
 
matusi ya wapi hapo tena mkuu??? hivi kueleza ukweli ambao sasa umekuwa ni open secret nao ni uchochezi????!!!!!!!
 
sioni tatizo kafikisha ujumbe,waslam waendeleze yale waliokuwa wanayafanya kwenye siku za mfungo si kuyatupa kapuni....

Well,said Mkuu. Na hilo limesisitizwa kila mahali na kila Sheikh alopata kuhutubia siku ya Eid.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom