Kipanya Atukana Waislamu?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
SAM_4606.JPG
Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com
 
View attachment 62374
Kipanya na magazeti ya leo tembelea www.mjengwablog.com

Acha uchochezi, simply anawakumbusha waislamu kuwa kwisha kwa mfungo mtukufu sio mwanzo wa maasi! hana nia mbaya hata mashehe wamekuwa wakihubiri kuwa waislamu waendelee kutenda mema hata baada ya mfungo. Ndio ujumbe wa kipanya! Unafanya uchochezi kwa watu ambao unajua ni reactionary! Usifanye hivyo tena!
 
sioni tatizo kafikisha ujumbe,waslam waendeleze yale waliokuwa wanayafanya kwenye siku za mfungo si kuyatupa kapuni....
 
Ni UJUMBE na sio matusi. Naamini unatatizo la kuelewa "the humor" behind cartoonist depictions. Je
Hufahamu kwamba kuanzia Leo mauzo ya pombe yataongezeka maradufu? Jiepushe na uchongsnishi wa kid ini hasa ya kiislam kwani madhara yake kwa unayemchonganisha ni makubwa.
 
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!

Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti
 
hakuna matusi hapo usitake kutupandisha jazba wakati watu tuko kwenye furaha ya eid. Atakae rudi kwenye maasi baada kuisha ramadhan ndio ameutukana uislam na kuidhulum nafsi yake. Eid mubarak.
 
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!

Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti

King'asti,
Karibu nyumbani tujumuike sote kwenye Eid.
 
Last edited by a moderator:
At least ameongea ukweli! Manake leo na nyumba ndogo zitapelekewa nyama na mchele. Walau, manake kutolewa out ni mpaka hangover ya utakatifu ipungue, jumanneee!

Ramadhani ingekuwa mwaka mzima na selective days za kufunga, mambo yangekuwa tofauti

Mleta mada atakuwa anatumia 'kilauri' hivyo huo ujumbe umemuuzi.
 
Dah kweli hii hatari,kama hii picha ndio anaambiwa ametukana waislam basi jamii siku hizi haitaki tena mafundisho kwa kisingizio cha dini, tena ni dini hiyo hiyo ndio inapaswa kumrekebisha mwana nchi na jamii kwa ujumla. Naombeni kila mwenye dini kurudi kujifunza from the basics achilia mbali kwamba wewe dini ulirithishwa na hukuwahi hata siku moja kujifunza kwa hamu wewe kama wewe. Maana naamini katika hizi dini kuna mambo mengi yanafanana kama amani,upendo,kukataa dhambi,mafundisho n.k basi tuanzie hapa kwanza. Ushabiki unatuua na wote tunaweza kujikuta tuna enda motoni kwa sababu ya kumwacha Mwenyezi Mungu na haki yake.
 
Usimtafute ubaya kipanya kwa nia ya kumfunga mdomo,katuni hii inatulenga na kutukumbusha baadhi yetu sisi waislamu.
Kipanya endelea na kuelimisha makundi mbalimbali katika jamii hii yenye watu wanaojisahau.

kweli kaka mi mwenyew nimejikuta nipo na castle lite mda huu..ngoja nimwage
 
Back
Top Bottom