Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.
 
Ngoja tuone, sio huiyu aliyeambiwa kuwa mavi yake ayaache nyumbani?
 
Wewe unahangaika na li baiskeli lako, watoto wa marehemu wanaumiza vichwa jinsi ya kutumbua matilioni walioachiwa na Jiwe .
 
Hahaaa...Eti
Mwendazake !
 
Kwani anaenda kwa siku moja? Atakuwa anapumzika kwenye maeneo mbalimbali.
Kwani unapoambiwa uwezi kuendesha gari adi Mali au Nigeria unadhani unaenda kwa siku moja? suala la kupiga pedal na kushugulisha misuli unajua madhara yake kama hukuwahi kufanyw hivyo kabla?
 
Hawa Sukuma Gang sijui hawaamini kama nchi ina rahisi ....maana bado kuna vi element vya kusaka cheap popularity ...sijui kiongozi wao ni nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…